Wale wapitao barabara ya mandela road. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wapitao barabara ya mandela road.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CPA, May 16, 2011.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Barabara ya mandela road toka ubungo kwenda buguruni. Kuna foleni la kufa mtu, limeanzia garage. Wale wote wanaotaka kupita njia hii wenye haraka watafute njia mbadala.
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ahsante sana mkuu ngoja tutafute option. Tatizo hili litaisha lini hapa Bongo! Ila hiyo heading barabara ya Mandela road..
   
 3. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa. Ila hizo red hebu edit kidogo mkuu
   
 4. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ilo nalo?ufumbuzi labda sijui ngoja tuone
  umeme je?nusu mwaka sasa na mgao unapamba moto ilhali wanakunywa kahawa "semina elekezi"
  sielewi watu wanaowapigia kura awa wajinga wachache
   
 5. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna askari mmoja tu mwanamke anayeweza kudhibiti foleni katika makutano ya barabara za mandela, morogoro na sam nujoma. Akipangwa pale kamwe huwezi kukuta foleni yoyote.
   
 6. O

  Omumura JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ah,foleni kwa sasa ni janga la kitaifa jameni!
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hamna utatuzi, tuzoee tu hii hali.
   
 8. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Siku zote hua najiuliza siJapata jibu...
  Askari wa kuongoza magari...taa za kuongoza magari...kipi bora kwenye hilo tatizo?
   
Loading...