Wale wapenzi wa series/movies za kupana na magaidi wa kiarabu njoo hapa

Hzo za kigaidi.huwa si concetrate sana na majina.

Kuna moja jamaa wa korea sijui,walienda kupambana na magaidi aiseee ni noumaa kuna dogo la kigaidi na kiarabu linalenga shabaha hatari.

Ila alikuepo sniper mmoja upande wa kijeshi akawa anapambana na dogo alimkosa kosa akamtoa sikio tu..

Sijui zinaitwaje.ila naogopa sanaankuzitizama mana naona kama ndo kweli vile..
noma sana ile

walikua wanawindani kisniper kwa hisia tu *****...milimani huko
 
Back
Top Bottom