waiting for de date!Wakazi wa kanda ya ziwa mko tayari!, Vodacom inakuletea tamasha la aina yake tarehe 21 May 2016 - Jembeka Festival litakalofanyikauwanja wa CCM-Kirumba.
View attachment 348470
Zamani ipi unayoizungumzia wewe?Acha kujitekenya mkuu.Neyo zamani siku hizi ni mganga njaa tu.
Uazime na shati lakeNakopa nauli, siji kumuona diamond wala neyo
Naja kumuona le mutuz