Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,119
- 27,934
Ila punguza na kauchoyo kidogo basinimeanza kufungua burner mambo safi ila kuna gesi huwa inatoka kdgo wakati wa kufunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila punguza na kauchoyo kidogo basinimeanza kufungua burner mambo safi ila kuna gesi huwa inatoka kdgo wakati wa kufunga
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu we jitwishe mtungi wako usepe nao,jion ukirudi unarud nao,,,maana watanunua na wao kikoki chao,,hakiuzwagi pesa mingi kile,,kinacheza kwenye 10,000-13,000/= km ckosei,,,wakikinunua watakua wanakusubir utoke tu wao wachomeke cha kwao na kwa hasira hio gesi cku hio watatumia hadi iishe cku hio hio,,,watachemsha hadi maji ya kuoshea NYORO.wakuu habarini zenu hivi nilikuwa nauliza ule mtungi mdogo wa gesi ukiwa unafungua koki yake nakusepa nayo kila ukimaliza kupikia je gesi haiwezi kuisha haraka?maana ninakaa na ndugu zangu wengi wanaitumia sana haifikishi hata mwezi inaisha huku mimi sijapika cha maana maana nashinda kwenye mihangaiko yangu kurudi jioni,nikaamua kuanza tabia kufungua kile kikoki cha kuwashia je haiwezi kuvuja gesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ndugu yangu yeye alikuwa anatabia ya kuja kutungua nguo zangu na kuvaa! Duka halijui mtumbani ndio kabisaa hajawahi fika. Ukinunua sneakers mpya zile za zamani utakuta kazivaa. Tshirt anapekuwa begi anachukua. Hadi ikafikia stage hata boxers anajichukulia tu nikaona its too much nikamchana!Ila jamani kusema ukweli kuna Ndugu wengine wanakera utakuta mtu anachemshia makande kwenye gas
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa si hajui ghalama zake lazima achemsheIla jamani kusema ukweli kuna Ndugu wengine wanakera utakuta mtu anachemshia makande kwenye gas
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaa duu n ilijua ni wanawake tu kumbeni men haaa haaa kwahiyo na mpenzi wako anawafulia wote wawiliKuna ndugu yangu yeye alikuwa anatabia ya kuja kutungua nguo zangu na kuvaa! Duka halijui mtumbani ndio kabisaa hajawahi fika. Ukinunua sneakers mpya zile za zamani utakuta kazivaa. Tshirt anapekuwa begi anachukua. Hadi ikafikia stage hata boxers anajichukulia tu nikaona its too much nikamchana!
acha uchoyo mkuuwakuu habarini zenu hivi nilikuwa nauliza ule mtungi mdogo wa gesi ukiwa unafungua koki yake nakusepa nayo kila ukimaliza kupikia je gesi haiwezi kuisha haraka?maana ninakaa na ndugu zangu wengi wanaitumia sana haifikishi hata mwezi inaisha huku mimi sijapika cha maana maana nashinda kwenye mihangaiko yangu kurudi jioni,nikaamua kuanza tabia kufungua kile kikoki cha kuwashia je haiwezi kuvuja gesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Akichukua simdai ndio ntolee hio namuachia kimoja yani.Haaa haaa duu n ilijua ni wanawake tu kumbeni men haaa haaa kwahiyo na mpenzi wako anawafulia wote wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Why doesn't greed ever end? Why?wakuu habarini zenu hivi nilikuwa nauliza ule mtungi mdogo wa gesi ukiwa unafungua koki yake nakusepa nayo kila ukimaliza kupikia je gesi haiwezi kuisha haraka?maana ninakaa na ndugu zangu wengi wanaitumia sana haifikishi hata mwezi inaisha huku mimi sijapika cha maana maana nashinda kwenye mihangaiko yangu kurudi jioni,nikaamua kuanza tabia kufungua kile kikoki cha kuwashia je haiwezi kuvuja gesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafukuze acha uboyawakuu habarini zenu hivi nilikuwa nauliza ule mtungi mdogo wa gesi ukiwa unafungua koki yake nakusepa nayo kila ukimaliza kupikia je gesi haiwezi kuisha haraka?maana ninakaa na ndugu zangu wengi wanaitumia sana haifikishi hata mwezi inaisha huku mimi sijapika cha maana maana nashinda kwenye mihangaiko yangu kurudi jioni,nikaamua kuanza tabia kufungua kile kikoki cha kuwashia je haiwezi kuvuja gesi
Sent using Jamii Forums mobile app