Wale wanaotumia gesi kupikia, nikitoa koki inaisha?

wakuu habarini zenu hivi nilikuwa nauliza ule mtungi mdogo wa gesi ukiwa unafungua koki yake nakusepa nayo kila ukimaliza kupikia je gesi haiwezi kuisha haraka?maana ninakaa na ndugu zangu wengi wanaitumia sana haifikishi hata mwezi inaisha huku mimi sijapika cha maana maana nashinda kwenye mihangaiko yangu kurudi jioni,nikaamua kuanza tabia kufungua kile kikoki cha kuwashia je haiwezi kuvuja gesi

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu we jitwishe mtungi wako usepe nao,jion ukirudi unarud nao,,,maana watanunua na wao kikoki chao,,hakiuzwagi pesa mingi kile,,kinacheza kwenye 10,000-13,000/= km ckosei,,,wakikinunua watakua wanakusubir utoke tu wao wachomeke cha kwao na kwa hasira hio gesi cku hio watatumia hadi iishe cku hio hio,,,watachemsha hadi maji ya kuoshea NYORO.
 
Kulikoni kufanya swala la kitoto kama hilo ni aheri usimame kama kidume cha mbegu.

Toa tamko tu "Kwa sasa sihitaji usumbufu wa aina hii tena maana ustaarabu umekuwa ishu!"
"Jamani eeh hii gesi nimeinunua niitumie mimi sio nyie mtumie kisha niwajazie mtungi, mimi sio Yesu wenu. Ikiwa mtu anauwezo wa kutumia basi ajue pia atahitajika kuinunua, Period!"
 
Ila jamani kusema ukweli kuna Ndugu wengine wanakera utakuta mtu anachemshia makande kwenye gas

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ndugu yangu yeye alikuwa anatabia ya kuja kutungua nguo zangu na kuvaa! Duka halijui mtumbani ndio kabisaa hajawahi fika. Ukinunua sneakers mpya zile za zamani utakuta kazivaa. Tshirt anapekuwa begi anachukua. Hadi ikafikia stage hata boxers anajichukulia tu nikaona its too much nikamchana!
 
Haaa haaa duu n ilijua ni wanawake tu kumbeni men haaa haaa kwahiyo na mpenzi wako anawafulia wote wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a
wakuu habarini zenu hivi nilikuwa nauliza ule mtungi mdogo wa gesi ukiwa unafungua koki yake nakusepa nayo kila ukimaliza kupikia je gesi haiwezi kuisha haraka?maana ninakaa na ndugu zangu wengi wanaitumia sana haifikishi hata mwezi inaisha huku mimi sijapika cha maana maana nashinda kwenye mihangaiko yangu kurudi jioni,nikaamua kuanza tabia kufungua kile kikoki cha kuwashia je haiwezi kuvuja gesi

Sent using Jamii Forums mobile app
acha uchoyo mkuu
 
Why doesn't greed ever end? Why?
 
Wafukuze acha uboya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom