Wale wanaopinga uwepo wa Mungu, hebu jibuni hili swali

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Habari zenu wakuu,

Kuna wale ambao hawaamini uwepo wa Mungu wala wa shetani (atheist).
Naombeni mtujuze pale mazingaombwe yanapofanyika.

( mfano ya kumpasua mtu tumbo au kumtenganisha kichwa na kiwiliwili n.k) Je,
ni sayansi gani inayotumika pale?.

Manaake Watu walio katika imani husema baadhi ya mazingaombwe ni uchawi,
na nyinyi ndio hamuamini uchawi wala shetani, .

SASA MTUAMBIE NA MTUELEWESHE NI SAYANSI GANI INAYOFANYWA WAKATI WA MAZINGAOMBWE?
 
ni ulimbukeni na kufuata mikumbo ndio kunawafanya hawa watu kutetea ethiests.
Juzi nimejifunza hata hiyo Bing Bang theory ambayo wao wanaanzia kuwaaminisha watu theory of evolution.
Mtu wa kwanza kuizungumzia na kupropose alikuwa ni kasisi jesuit msomi wa physics ambaye anaamini Mungu.
 
Back
Top Bottom