Wale wanaopakua muvi kisha wanauza, bando gani au chanzo gani cha intaneti huwa wanatumia?

Halotel unlimited 1500 usiku kuanzia saa 6

Ttcl bandika bandua 2500 gb 10 kuanzia saa mbili usiku hadi 12 asubuhi(gb 1 muda wakawaida). Pia kwa 1000 gb 4(mb 500 muda wa kawaida gb 3.5 kuanzia saa mbili usiku)
Pia ttcl gb 10 kuanzia 00.00 hadi 12 asubuhi kwa buku.
 
Asante saana...ila hyo unlimited ya halotel nmeipenda
Halotel unlimited 1500 usiku kuanzia saa 6

Ttcl bandika bandua 2500 gb 10 kuanzia saa mbili usiku hadi 12 asubuhi(gb 1 muda wakawaida). Pia kwa 1000 gb 4(mb 500 muda wa kawaida gb 3.5 kuanzia saa mbili usiku)
Pia ttcl gb 10 kuanzia 00.00 hadi 12 asubuhi kwa buku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua hili suala, mimi ni mpenzi sana wa movies na nina plan ya kufungua movie studio hivi karibuni. Sasa nataka kujua mfano ukitaka kudownload huwa wanajiunga bando gani ili pesa ya bando na movies ukiuza kuwepo na faida.

Na kama kuna source ya internet wanayoitumia naomba kujulishwa.

Nitashukuru sana nikipata jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiunge kifurush Cha harotel Cha usiku kinaanza saa 6 usiku mpk saa 12 bila kikomo kwa sh 1000 km utakuwa na laini ya 4g ya harotel uta enjoy sana movie yenye gb 1 una shusha kwa dakika 20 tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom