Wale wanaojua Hisabati na Hesabu tukutane hapa

Masomo gani uliosoma ambayo co ya uongo au yale yasemayo binadamu wa mwanzo alikuwa nyani kisha nyani wa sasa hawageuki kuwa binadamu
Mi Nilisoma Laws ila hata histry haisemi kuwa binadamu Wa kwanza alikuwa nyani
Histry inaprovide different theories kama creation theory Mbali na Evolution
Kama wewe Mwalimu wako aliconclude ni hatari sana
 
Mkuu labda nyie mlioenda mbali sana sawa we unadhani watoto walioishia f4 wanayajua hayo kweli
 
Back
Top Bottom