Wale wanaoagiza bidhaa nje ya nchi tusaidiane mawazo wadau

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Kwa wale wanao agiza bidhaa from abroad sanasana China, bidhaa gani unaweza mshauri mtu anaeanza hiyo biashara lets say mtaji wa kuanzia m5, mtu ambae hajawai fanya biashara hii haendi China anaagiza tu kupitia source zinazojulikana na mzigo unafika bila tatizo. Unamshaur alete kitu gani mjini hapa.

No necessarily DSM hata mikoan huko.

CONTROLA nakutegemea hapa kaka, mchango wako wa mawazo

Wangar mathai pia..na wadau wengine plz msaada wenu ni mali
 
unaanzisha uzi afu unaita select watu wa kuchangia, subiri waje wakuchangie kin controla hao hao....
 
Back
Top Bottom