Wale WANACCM wako wapi.......mbona wote twaponda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale WANACCM wako wapi.......mbona wote twaponda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dazenp, Jan 21, 2011.

 1. dazenp

  dazenp Senior Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani wakati wa kampeni humu kulikuwa na watu kama malaria sugu na wengineo kibao wanamtetea mkwere kuwa ni kiongozi anayefaa......na kura za JF zilionyesha wazi CDM kitashinda ijapokuwa haikuwa hivyo machoni ila ndani ya moyo nilijua wazi CDM imeshinda sasa nataka kujua wako wapi wale walioitetea Serikali ya kidhalimu, Serikali ya Unyonyaji kwa watanzania na Serikali ya Uozo inayonuka rushwa na ufisadi wa kila aina........mbona hawapo wazi sasa au ndio wamegundua waliingia choo cha kike.......
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  wote wamekula ban
   
 3. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Wamekula ban, ... hiki ni kijiwe cha Chadema!
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  ROSTAM ameshatembeza mgawo kila kona.
   
Loading...