Wale wana sheria naomba msaada jinsi ya kukokotoa mafao

0788725283

Member
Apr 23, 2020
9
1
Mimi nafanya kazi hotel za kitalii porini Serengeti nahitaji kuacha kazi ili kujiajiri mwenyewe ila sijui jinsi ya kukokotoa masaa ya ziada; annual leave na siku za holiday saraly ni mia 300 kwa mwezi na nina miaka 2 na miezi 6. Nina annual leave 23.
 
kwa mujibu wa sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 na kanuni za ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2007 unapoamua kuacha kazi kiutaratibu kwanza

Unatakiwa kutoa taarifa kwa muajiri wako siku 28 kabla ila kama muajiri angetaka kusitisha ilitakiwa atoe siku 28 kabla au alipe mshahara wa siku 28 ila kwa kuwa unaacha hii hutopata

Stahiki zako unazostahili ni Malipo ya likizo siku zako 23 utazidisha na mshahara wako wa siku kwa msahahara wa 300,000 kwa siku ni 10,000 ukizidisha na siku 23= 230,000

Unatakiwa ulipwe kiinua mgongo ila sheria inasema ukiacha kazi mwenyewe hutalipwa kiinua mgongo ila ikitokea ni huruma ya muajiri utalipwa kama ifuatavyo

mshahara wa siku utazidishwa kwa siku 7 utazidishwa kwa miaka uliyotumikia kampuni yako kwa hapo itakuwa hivi = 7*10,000*2.5= 175,000

hayo ndo unayostahili kwa mujibu wa sheria

KUMBUKA: kuacha kazi itakupa sana changamoto kupata mafao yako NSSF
 
Thanks kaka Bora uhai kwa kunifumbua macho ila kuna staff mwenzangu aliacha akafanyiwa hivi cjui ilikuwa sahihi au la 300000÷30=10000÷8hrs=1250×1.5×12hrs×12 months=180000. Alafu siku za sikukuu kampigia hivi 1250×2×8hrs×14days per year=280000 je ni sahihi? Hivyo ndivyo naona watu wakiacha kazi wanakokotolewa.
 
labda kama muajiri wako alikuwa halipi masaa ya zaida na sikukuu wakati unafanya kazi ila kama alikuwa analipa sizani kama ni sahihi kulipa na kwa ukukotoaji wa masaa ya ziada pia upo hivi kwa uelewa wangu

Kila saa linalozidi baada ya mda wa kawaida kwa mujibu wa sheria ni angalau ya 1 1/2 yani moja na nusu ya mshahara wa siku mshara wa siku ni 10,000 kwa masaa 8 kila lisaa 1250 kwaiyo tukifwata sheria hapo ni 2083 kila lisaa la ziada na hii ni kwa siku za kawaida na jumamosi ila jumapili inatakiwa kuwa mara mbili ya 2083 yani 4166

kwa saa ni 1250
ila linapokuja swala la overtime haItakiwi tena kuwa 1250 ila itatakiwa 1 1/2 ya 1250 alafu ujumlishe sasa ndo utapata kujua kila lisaa la overtime linathamani kiasi gani

Sasa basi kwa kawaida overtime, jumamosi & jumapili na siku za sikuu hujumuishwa katika malipo ya mwezi na kila mwezi mfanyakazi hupewa salary slip ikionesha mchanganuo

Nawaza kichwani mwangu yafuatayo
Imekuaje masaa ya ziada mtu alipwe pale anapotaka kuacha kazi iwe kama sehemu ya haki zake
Je unarekodi ya kujua kila siku baada ya masaa 8 ulikuwa unafanya masaa mangapi ya ziada kipindi chote cha miaka 2
Je unarekodi ya kujua jumamosi baada ya ile nusu siku ulikuwa unafanya masaa mangapi kama masaa ya ziada kipindi chote cha miaka 2
Je unarekodi ya jumapili ngapi ulizowahi kufanya kazi kipindi chote cha miaka 2
Je unarekodi ya sikuu ngapi ulizowahi kuzifanya kipindi cha miaka 2

KUMBUKA: CHUKUA HATA HICHO ENDELEA NA MAMBO YAKO
 
Nafanya kazi ya Butler ni hivi napokea mgeni/wageni tangu wameingia hotelin mpaka siku wanaondoka mda wote niko nao napumzika pale tu wanapokuwa wameenda game drive kwa mda wa masaa 4 na hapo inategemeana kama waharudi hotelin kwa ajili ya lunch siwez pumzika . Kifupi ni kwamba nafanya kazi zaidi ya masaa 15.
Mkataba wetu unasema fanya kazi siku 6 ndani ya wiki hivyo basi tuliopo porin huwa tunafululiza siku 7 za wiki tupo kazin kutokana na uhaba wa staff na service tunayoitumia. Baada ya miezi miwil au mitatu kama wageni ni wachache ndio unaruhusiwa kwenda nyumban kupumzika hizo siku moja moja ulizozikusanya kwa kila wiki. Pia sikukuu zote ndani ya mwaka huwa tupo kazin isipokuwa tu ukiwa rikizo ile ya siku 28 kama sikukuu itakulenga upo nyumbani bas. Mimi mwezi 10 kila mwaka rikizo yangu.
Kwa hiyo mwajiri anachokifanya unapoacha au kuachishwa kazi anakukokotolea hayo masaa ya ziada na sikukuu ndani ya mwaka ila siku za sikukuu naona anaandika 14 kwa mwaka sijui kama ni hizo kweli ndugu.
 
Any way japo ni kinyume na utaratibu wa sheria ya jira na kanuni zake aliyenacho ataongezewa kama ulikusanya zile tip za kutosha kapambane na mambo mengine
 
Ni

Kweli ila shukran sana ndugu umenifundisha kitu ambacho sikukijua ubarikiwe
 
Back
Top Bottom