Wale wana CCM wenzangu tuliozaliwa na kukulia Mikoa ya Pwani tumemwelewa vyema huyu Ado Shaibu wa ACT?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,335
2,000
"CCM ina sifa ya Patasi ambayo ili ifanye kazi ni mpaka igongwe kwa nyuma, ni kazi ya vyama vya upinzani na asasi zingine za kiraia kuhakikisha CCM inafanya kazi ipasavyo na wasipofanya hivyo basi sisi tutawalazimisha" - @AdoShaibu

Ama hakika ' akutukanae ' hakuchangulii ' Tusi ' kabisa. Haya hala hala wale wana CCM wenzangu ' Patasi ' tusiofanya Kazi ipasavyo hadi ' tugongwe ' kwa nyuma hebu tujitokeze ama tumpinge Ado Shaibu au nasi tumpe majibu yake stahili.

Tuliozaliwa Mikoa ya Pwani halafu ni wana CCM hii Kauli yake inatuumiza mno.

Nawasilisha.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
2,243
2,000
Ingekuwa mtu fulani ametumia hilo neno headline ingekuwa imekaa kwenye online newspaper zote mpaka sasa
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
7,656
2,000
"CCM ina sifa ya Patasi ambayo ili ifanye kazi ni mpaka igongwe kwa nyuma, ni kazi ya vyama vya upinzani na asasi zingine za kiraia kuhakikisha CCM inafanya kazi ipasavyo na wasipofanya hivyo basi sisi tutawalazimisha" - @AdoShaibu

Ama hakika ' akutukanae ' hakuchangulii ' Tusi ' kabisa. Haya hala hala wale wana CCM wenzangu ' Patasi ' tusiofanya Kazi ipasavyo hadi ' tugongwe ' kwa nyuma hebu tujitokeze ama tumpinge Ado Shaibu au nasi tumpe majibu yake stahili.
Tuliozaliwa Mikoa ya Pwani halafu ni wana CCM hii Kauli yake inatuumiza mno.
Nawasilisha.
Unawashwawashwa, sema na hili wee si mtu wa pwani!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom