Wale walioweka makazi city centre wabomolewe nyumba zao

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Nao wabomolewe nyumba zao,

Town kuwe na maduka tu na ma mall,

Yes inawezekana,

Mbona sehemu nyingine watu wamekuwa wakibomolewa,kupisha ujenzi wa barabara etc,

Iwe sheria,watu kutojenga au kuweka makazi katikati ya mji,lets say certain kilometres nje ya mji,ndio iwe ruhusa kujenga,

Na Machinga wawekewe jengo lao hapo hapo,i mean liwe jengo lenye hadhi yake,

Kama nimekugusa pole,lol

Na sie tunataka 'city centre':):);)
 
Una Point ya msingi, ila sasa umeshindwa kuifafanua.
Unamaanisha pale wapi?? Posta DSM au Mkoa gani??
Kwamba kusiwe na makazi ya kuishi bali maofisi tu au??
 
Una Poit ya msingi, ila sasa umeshindwa kuifafanua.
Unamaanisha pale wapi?? Posta DS au Mkoa gani??
Kwamba kusiwe na makazi ya kuishi bali maofisi tu au??

nilikua namaanisha Daresalaam,

Mkuu ukinitajia mitaa nishasahau,Nipo huku bush,lol,ila utaona mjini kuna wengine wameweka makazi,yeye analala juu chini kaweka duka,hasa wahindi,
 
nilikua namaanisha Daresalaam,

Mkuu ukinitajia mitaa nishasahau,Nipo huku bush,lol,ila utaona mjini kuna wengine wameweka makazi,yeye analala juu chini kaweka duka,hasa wahindi,
Sasa hapo ujue wenye makosa sio wao wakazi, bali serikali na mamlaka zake. Sababu wakati hayo majengo yanajengwa yaliombewa kibali cha Makazi na Biasharana wao serikali wakakubali. Lakini pia hata kama unataka wahamishe basio kwa kubomolewa, kwani hizo nyumba za makazi haziwezi kugeuzwa maofisi mpaka zibomolewe??
 
mmnh mkuu mimi sidhani tatizo ni serikali,hayo majengo yapo hata kabla ya sheria ya makazi ilipoanzishwa,nadhani sheria ya makazi imekuja kipindi cha Tibaijuka,ila sina uhakika na hili,kubomolewa hio haiepukiki kama tutakua na structure moja ya mji wetu,sio huyu kajenga huku yule kajenga kule,wakibomolewa si watalipwa hela zao wakajenge kwingine?
 
Kwa nini unasema hivyo SI?
mjini nyumba haziwezi kubomolewa.. sasa hivi mjini nyumba zilizopo ni appartment.
labda utuambie ni mjini ipi..
\

suala la kuzeek nimekutani dada yangu dont swallow it. mwanamke hazeeki
 
mjini nyumba haziwezi kubomolewa.. sasa hivi mjini nyumba zilizopo ni appartment.
labda utuambie ni mjini ipi..
\

suala la kuzeek nimekutani dada yangu dont swallow it. mwanamke hazeeki

Nilichokua namaanisha ni kuwe na mzunguko ambao umeachwa kwa ajili ya mji na parking,

Apartment ni nzuri kuwa nazo,ila zizunguke mji,na sio,ndani ya mji.......

Usijali mie ni mzee hata hivyo,lol
 
mmnh mkuu mimi sidhani tatizo ni serikali,hayo majengo yapo hata kabla ya sheria ya makazi ilipoanzishwa, nadhani sheria ya makazi imekuja kipindi cha Tibaijuka, ila sina uhakika na hili,kubomolewa hio haiepukiki kama tutakua na structure moja ya mji wetu,sio huyu kajenga yule kajenga kule,wakibomolewa si watalipwa hela zao wakajenge kwingine?
Sheria ya makazi iko tangu enzi na enzi,
Miaka yote Wamiliki wa majengo huomba kibali serikalini kwanza kabla ya kujenga.
Hata hivyo ni vigumu kuanza kuupanga mji ambao watu tayari wanaishi ndani yake.
Nchi zingine huamuaga kuanzisha mji mwengine pembeni ambao huo ndio huupanga vizuri,
Tuseme kama hapa Dar Unaangalia km 100 south unakuta Kibiti au Kimanzichana huko ndio unapanga mji mpya,
Au unaenda West unakuta Chalinze huko ndio unapanga mji mpya mkubwa tu
 
Thanks kwa info hapo nilipo bold,
second,nishaanza kuhisi una maslahi hapo mjini,hahaaaaa
kuhamisha mji inawezekana,mbona kuna matajiri kutoka mgodini huko,wanakujaga mazense na magomeni,wanawapa hela watu wananunua nyumba zao mbovu,na kubomoa nyumba na kujenga upyaa,(hela ya kuhamisha)
usiogope bana,ukibomolewa nyumba yako,utapewa mkwanja ukajenge pengine,lol
miji inakuwa transformed every day,
 
Wajua tuseme Kiwanja au Jengo bovu bovu lililojengwa kwenye labda Kiwanja cha Nusu Heka tu pale Posta ni zaidi ya hata Tshs 5Bill. Na ukilikuta Jengo la kawaida ndio zaidi ya hiyo hela. Kuupanga mji unazungumzia kubomoa majengo ya kutosha tu labda 100, hapo hujaanza bado ujenzi wake, na hapa nimetoa makadirio ya chini sana.
Kwanini hizo hela zisitafute eneo la mbali hiyo 5bil ya kiwanja cha Nusu heka ukajikuta inatosha kuhamisha Kijiji/Kitongoji/Kata etc nzima??

Hao wanaohamisha magomeni ni mtu mmoja mmoja tu, na hata wanaohaishwa ni mmoja mmoja vile vile, tena kwa nyakati tofauti. Ukitaka kuwahamisha wote kwa pamoja ni issue dada. Solution ni kujenga tu mji mwengine pembezoni mwa Jiji la Dar. Mfano 7-11 project za NHC pale kawe sio mbaya, ila nazo kawe ni kama mjini tu napo bado, pangekaa mbali ambako hakuna msongamano kungea poa zaidi.
 
Mbona sehemu nyingine watu wamekuwa wakibomolewa,kupisha ujenzi wa barabara etc,
Hawa wanabomolewa kwa kujenga ndani ya hifadhi ya barabara. Vinginevyo wanastahili kulipwa fidia. Yapo majengo ya makazi katikati ya mji yamebomolewa na kujengwa mengine pia.
 
Mkuu RRONDO,

hao waliobomolewa,ni wale wako ndani ya hifadhi ya barabara,kama umenielewa hii hifadhi ni kilometre kadhaaa kutoka barabarani,na mimi ninachoongea ni hizo kilometre kadhaa ambazo zinatakiwa kuwa nje ya eneo la mji ,mtu kujenga ndani ya hilo eneo litakua ni uvunjifu wa sheria.

Mkuu Shark,

Tunataka hapo hapo mjini,ndio sehemu iliyozoeleka na wengi,lol nani aende bush kusiko na biashara lol

Hili ni wazo,inawezekana pia kwa kila wilaya ndani ya mji kutenga sehemu maalumu,pia kwa ajili ya biashara(kuwe na mini mall)isiwe lazima kwenda Town,

ANYway sidhani kwa sasa hivi vitu ni kipaumbele chetu,tuna shida zaidi ya hizi...........lol

Ila mkuu wa kaya,ungejenga ma mall yetu Dareslaam,na uwanja wa ndege kule Chato,hata ukistaafu watu watakuwa wanakukumbuka......
 
Sijaelewa Rebeca 83 unataka nini hasa. Kwani miji inajengwa na nani na kwa ajili ya nani? Btw watu ndio huleta biashara. So badala ya kubomoa na kuondoa watu, miji ipangwe kiasi kwamba makazi, biashara, viwanda, mashamba bustani n.k yote unaweza pata ukiwa town.

Majiji yawe mengi yakiwa na huduma zote muhimu.

Sanasana nitakuelewa kama unamaanisha majiji yapangwe kwa dhima. Mfano jiji la Dar la shughuli za kifedha na bandari, Tanga viwanda na bandari, bagamoyo bandari, dodoma serikali na utawala, Arusha kitovu cha utalii, Mwanza madini uvuvi na biashara, Moshi wezi wote wakakae huko, Same wabahili wote, Katavi wachawi wote, Mbeya kitovu cha kilimo na uchakataji wa mazao, Kigoma jeshi muziki na kilimo, Mtwara gesi asilia na kilimo, n.k.

Usisahau kuwa hizo shughuli zote kwenye majiji zinahitaji watu kuzifanya na hizo huduma na bidhaa watu wa kuzitumia. So ni lazima jiji liwe na makazi ndani kabisa ya kitovu chake (City Centre).
 
Well,ninachotaka kule posta na kariakoo kuvunjwe,kujengwe majengo yenye hadhi ya biashara,

Sehemu hizo nimeona nchi nyingine,huwa zina maduka,hoteli na parking za kutosha,

Transport inayoleweka to and from,na sio makazi ya watu!

Watu wa kawaida wanakwenda kununua bidhaa na kurudi majumbani kwao,

Wale wa mikoani nao weanakuja kununua vitu kama wapo,wanalala hotelini etc

Kwa kweli hayo maeneo ndio kitovu chetu cha biashara kilipo,lol
 
...mbaff!..,uwe unatumia akili kufikiri na kujielimisha kabla ya kupost,
..domo kubwa kitumbua kwako karanga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom