Wale wakazi wa Igombe Kayenzi Mwanza

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
da49ea689bf39b1b74881040a60c9295.jpg
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/a488c8648dd562767393a1b3396bf213.jpg[/IMG
Wale wakazi wa Igombe Mwanza hivi ili basi lenu la DIGIDIGI ROYAL CLASS Lina break kweli hili nataka niende igombe Ila nna wasiwasi na usalama wa ili basi
Mnijuze wana Igombe Kayenzi
 
Kitu digi digi..ya kitambo hiyo balaa,alafu tajili yumo kwenye safari kila siku nenda rudi
 
Digidigi bado yupo anagonga mzigo? Niliyapandaga sana wakati nasoma Kayenze shule ya msingi miaka ya 80! Hebu wakazi wa Kayenze mjitokeze basi hapa mnisalimie kaka yenu na mjomba wenu! Mwalimu Moses Kipanda sijui alifikaga wapi?
 
Digi digi yupo na anagonga mzigo vizuri sana, barabara yenyewe nzuri sana , nafikiri miaka hiyo ya 80 mlikuwa mnapanda gari SAA saba usiku kutoka kayenze, enzi za mwadeko, subira bus ila kwa sasa raha tupu mnatoka SAA moja na digidigi SAA tatu mko town , SAA nane mnageuza, ukipanda digi digi ni raha tupu.
 
Unamaanisha sasa hivi kuna lami mpaka Kayenze? Ha ha ha haaaaa,, mkuu ilikuwa hatari. Ila tunashukuru hapakuwa na vibaka wengi wakati huo. Unatoka home saa 2 unaenda kulala stendi kwa ajili ya kupanda gari saa 8 usiku. Nilikuwa natoka shuleni pale Kayenze saa 2 usiku maana ukijidai kulala nyumbani hulikuti, hivyo suluhisho ilikuwa kwenda kulala stendi! Hivi Kayenze ikoje sasa hivi? Waarabu bado wapo? Mji umejengeka sasa hivi? Maana walipopita hawa ndugu zetu huwa hapaendelei sijui kwa nini?
 
Lami bado, barabara ya vumbi ila nzuri sana, kidogo mji umebadilika , warabu wapo wachache, kamji kanajengeka kwa sasa , muingiliano wa makabila umekuwa mkubwa hivyo maendeleo yapo.
 
Unamaanisha sasa hivi kuna lami mpaka Kayenze? Ha ha ha haaaaa,, mkuu ilikuwa hatari. Ila tunashukuru hapakuwa na vibaka wengi wakati huo. Unatoka home saa 2 unaenda kulala stendi kwa ajili ya kupanda gari saa 8 usiku. Nilikuwa natoka shuleni pale Kayenze saa 2 usiku maana ukijidai kulala nyumbani hulikuti, hivyo suluhisho ilikuwa kwenda kulala stendi! Hivi Kayenze ikoje sasa hivi? Waarabu bado wapo? Mji umejengeka sasa hivi? Maana walipopita hawa ndugu zetu huwa hapaendelei sijui kwa nini?
Mama yangu alizaliwa imarang'ombe nakumbuka ikifika kipindi cha likizo wote familia nzima tunaenda kulala stand uelekeo kwa babu kunywa maziwa maana mpaka kijiji kikaitwa imarang'ombe hapakuwa na mchezo kwenye nyama na maziwa mateso yalikuwa kwenye usafiri tu basi.

Maana barabara ilikuwa mbovu saana na Gari ikiyumba na kuegama upande mmoja..mnyamwezi nahama naenda upande wa pili ili nibalance na nirudishe basi kwenye msawazo kwa kitete cha kuhofia Gari itaangukia upande uliozidiwa...muarabu katulia tu ana machacha miguu yote ananichora tu na ananiona bishoo mwoga wa magari.
 
Digi digi yupo na anagonga mzigo vizuri sana, barabara yenyewe nzuri sana , nafikiri miaka hiyo ya 80 mlikuwa mnapanda gari SAA saba usiku kutoka kayenze, enzi za mwadeko, subira bus ila kwa sasa raha tupu mnatoka SAA moja na digidigi SAA tatu mko town , SAA nane mnageuza, ukipanda digi digi ni raha tupu.
Unamaanisha basi linatumia saa tatu kutoka Kayenze kwenda Mwanza? Na kutoka Mwanza kwenda Musoma itachukua muda gani?
 
Inatumia SAA 2, mabus ya kizamani sana , vituo vingi njiani pia inaenda mwendo wa taratibu sana , haina haraka kawia ufike.
 
Mama yangu alizaliwa imarang'ombe nakumbuka ikifika kipindi cha likizo wote familia nzima tunaenda kulala stand uelekeo kwa babu kunywa maziwa maana mpaka kijiji kikaitwa imarang'ombe hapakuwa na mchezo kwenye nyama na maziwa mateso yalikuwa kwenye usafiri tu basi.

Maana barabara ilikuwa mbovu saana na Gari ikiyumba na kuegama upande mmoja..mnyamwezi nahama naenda upande wa pili ili nibalance na nirudishe basi kwenye msawazo kwa kitete cha kuhofia Gari itaangukia upande uliozidiwa...muarabu katulia tu ana machacha miguu yote ananichora tu na ananiona bishoo mwoga wa magari.

Kweli mkuu ila kwa sasa usafiri uko poa, magari madogo madogo ni mengi , mm nakumbuka tulikuwa tunaamka SAA sita kwenda stand sehemu moja inaitwa Lugwigo mnasubili bus , SAA nane usiku linafika mnapanda mdogo mdogo , likifika Imarang'ombe linapakia nyanya za kutosha , then mnaendelea enzi hizo stand ilikuwa Tanganyika pale, zamani ilikuwa raha mnatembea usiku wala wiziwizi wa kishenzi haukuwepo.
 
Inatumia SAA 2, mabus ya kizamani sana , vituo vingi njiani pia inaenda mwendo wa taratibu sana , haina haraka kawia ufike.
Duh! ina maana kuna basi moja tu linaloenda huko? Mimi nilifikiri Kayenze ni karibu sana kutoka Mwanza mjini kiasi kwamba mtu anayeweza kuishi Kayenze na kufanya shughuli zake Mwanza town, kwa maana ya kila siku kwenda na kurudi mkuu!
 
Bus ni moja tu boc, labda uende hadi igombe hapo ndo kuna gari ndogo ndogo zinafanya biashara ya abiria kwenda kayenze, au unapanda coster hadi igombe then unauchukua usafiri wa kwenda kayenze
 
Back
Top Bottom