Wale wagumu wa kupiga simu tukutane hapa

Aisee hii mbona Kama Mimi Aisee Yaani hua sipigi simu asilani,
Yaani Mimi ni Introvert wa kiwango Cha SGR hupenda kukaa peke yangu na kujifungia ndani na kufanya mambo yangu personal
Muda mwingi natumia kusoma mambo magumu Sana Sana yanayoumiza kichwa tu!
Hamwezi amini nilisha wahi Kaa mwaka mzima sijawasiliana na ndugu yeyote yule hata mama Mzazi,

Kuna muda hua natamani nikakae kwenye kisiwa alone Kama kile kisa Cha
Robinson Crusoe
Daaaa Nina tatizo kubwa Sana!


Naona wengi humu mpo Kama Mimi Aisee!
 
kama kawaida ya watu wa jamii forum, 1. hawapendi kupigapiga simu
2.hawapendi kuchati
3.hawaweki wala hawaangalii status
4. hawapost picha instagram
5.hawasikilizi redio
6......
nyingine mtamalizia
mkuu hiyo sio utani yote uliyo mention hapo ndio Mimi kabisa Aisee nje ya JF, Quora &co hapana Kwa kweli nisiwe mwongo!
 
Kaka, mimi ni kama ww. mimi sipigi simu kabisa. Na wala siangalii status whatsaap za watu wangu. Wife ndio ana kazi ya kupigia ndugu zangu na zake. hadi aibu kabisa.

nttafuta baba mkwe kesho jmosi

Jumamosi ndio inaishiaishia

Babamkwe hajambo? Amepokeaje simu yako ulipopiga?

Mungu aendelee kuwatunzia wanaume wote wasaidizi wenu, wanaowapenda kuwasaidia hata kuwajulia hali wazazi wenu🙏
 
Watu wenye hulka hio ni watu wanaojali mda na ni watafutaji na wanavisioni kubwa.

Hata mm hilo linanipa shida watu ninaowapigia simu ni wa kwenye project zangu tu.

Ndugu wamelalamika hadi wamechoka.mm huwa nashangaa eti MTU anawapigia simu ndugu ,natamani lakini haiwezekani napanga kufanya hivyo nashindwa.

Entrepreneurship
 
Ase mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote

Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
Hata mimi ni mvivu sana wakupigia ndugu simu
 
Mngejua nguvu kubwa iliyopo katika kuwa alone msingekuja kula lazima hapa. Kuna watu midomo yao inazungumza kuliko akili. Lakini sisi introverts akili inazungumza kuliko midomo. Do the math.
 
Kuna watu unawapigia simu kuwasalimia lkn utajuta, atakueleza natatizo yake kibao. Watu kama hao ndo wamesababisha siku hz hatupendi kupiga simu wala kupokea. Yaani unammis mtu lkn unaogopa kumpigia
 
Back
Top Bottom