Wale wadada 'wanaojisikia' sana vyuoni

Jibu kulingana na sifa yako ya ukaksi na mavazi unayopenda kuvaa.
  • suruali za vitambaa zenye marinda :- "ASANTE MUNGU AKUBARIKI"
  • suruali za vitambaa zakubana bila malinda: "ASANTE"
  • suruali za kadeti "ASANTE ATA MM PIA NAKUPENDA" alafu unampotezea
  • jinsi na shati la kubana bana "SAWA NA SHUKURU KWA UPENDO WAKO"
  • Jinsi na shati kubwa "POA POA MAMA LA MAMA" alafu unampotezea
 
Mkubalie ombi lake,

Kisha mvue nguo zote abaki uchi Kama alivyozaliwa

Kisha,
Kaa chini, sikitika Sana, toa chozi JICHO Moja na piga moyo konde.

Kisha gafla,
vaa nguo zako ondoka apo haraka Sana.

BAADA YA HAPO LETE MREJESHO
Kuna jamaa yang aliwah fanya ktu kama like this,katka romance akatia kidole kwenye mbususu akaknusa,afu akahahirisha akamwambia demu aondoke.

Yule demu alkuwa akmuona jamaa ana badilisha njia
 
Habarini.

Nipo chuo mwaka wa 2, kuna msichana mmoja anapenda sana kusifiwa na wavulana, na kujiona yeye ni bora zaidi. Kuringa kwa sana, majibu na kauli mbovu, dharau, majivuno na kiburi hata kwa waliomzidi umri.

Sasa mimi ni 'mkaksi', nafikiri mnaelewa nikisema hivyo, sasa ameniletea shobo yaani ameniambia ananipenda. Sipendi wasichana wa namna hii nafikiria nimpe jibu gani konki ambalo hatokaa anisahau.

Kama nakosea mniambie.

Ni kwa nia njema tu
Achana na mapenzi inaonekana bado young Sana wewe, sasa cha kukushauri mdgo angu soma kwanza mengine utayakuta
 
Inamaana mkuu suala la kuchunguliwa makalio na sehemu ya haja kubwa hapo chuo umelitatua VP!?
 
Habarini.

Nipo chuo mwaka wa 2, kuna msichana mmoja anapenda sana kusifiwa na wavulana, na kujiona yeye ni bora zaidi. Kuringa kwa sana, majibu na kauli mbovu, dharau, majivuno na kiburi hata kwa waliomzidi umri.

Sasa mimi ni 'mkaksi', nafikiri mnaelewa nikisema hivyo, sasa ameniletea shobo yaani ameniambia ananipenda. Sipendi wasichana wa namna hii nafikiria nimpe jibu gani konki ambalo hatokaa anisahau.

Kama nakosea mniambie.

Ni kwa nia njema tu
We dogo unazingua,kuna uzi umeandika unaogopa kufanya mapenzi na hujawahi,mwingine unaogopa kutongoza unaogopa kukataliwa,tuahike lipi sasa?....pambaaavu...
 
Achana na mapenzi inaonekana bado young Sana wewe, sasa cha kukushauri mdgo angu soma kwanza mengine utayakuta
Maybe he is still a virgin.

Poor boy.

Chakarisha kiuno weweee ndo muda wako huu sio unazeeka unaanza kuhangaika na mabinti huku miksa mkongooo miksa al kasuus.

Shubaaaamit.
 
"Chuoni mi Ni mkaksii"
IMG_20210319_140530.jpg
 
Maybe he is still a virgin.

Poor boy.

Chakarisha kiuno weweee ndo muda wako huu sio unazeeka unaanza kuhangaika na mabinti huku miksa mkongooo miksa al kasuus.

Shubaaaamit.
Hata sio virgin, ila napenda kujiheshimu na kujua nini kimenipeleka chuo. Sipendi wasichana wenye dharau na nyodo!
 
Habarini.

Nipo chuo mwaka wa 2, kuna msichana mmoja anapenda sana kusifiwa na wavulana, na kujiona yeye ni bora zaidi. Kuringa kwa sana, majibu na kauli mbovu, dharau, majivuno na kiburi hata kwa waliomzidi umri.

Sasa mimi ni 'mkaksi', nafikiri mnaelewa nikisema hivyo, sasa ameniletea shobo yaani ameniambia ananipenda. Sipendi wasichana wa namna hii nafikiria nimpe jibu gani konki ambalo hatokaa anisahau.

Kama nakosea mniambie.

Ni kwa nia njema tu
Wengi wa dizain hiyo wanakua njaa kali tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom