wale wadada wa kibongo wanaopenda kwenda na wakti fashen mpya hiypo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wale wadada wa kibongo wanaopenda kwenda na wakti fashen mpya hiypo..

Discussion in 'Jamii Photos' started by Good Guy, Jul 31, 2012.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  noma
  [​IMG]
   
 2. B

  BARCA ON Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hahaha napita tu,watakuja wengine kuseme!
   
 3. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Lets assume I ve not seen this! Phew!. . . .
   
 4. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Wenye kwenda na utandawazi wakiiona leo, kesho nenda posta utaikuta "copy na paste yake". Mimi bado nipo kwenye Ramadhan Kareem.
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Duh! hii inaitwa kuvaa ya ushahidi.
  Kutembea uchi kabisa ni kosa la jinai, ila huyu ana kivazi
   
 6. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Atakua mwanamitindo huyu tujiulize ni vazi la wapi tu kati ya haya
  chumbani,kuogelea ,honey moon
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Hilo ndio la kutokea mzee si waona mahali alipo? Sipati picha la ufukweni au chumbani namna linakuwa
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Walivae tu waone,labda wazee wa uamsho watakuwa wameenda likizo...
   
Loading...