Wale wa wazee wa Mundende (bia) kule Pakistani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wa wazee wa Mundende (bia) kule Pakistani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kubingwa, Nov 26, 2011.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wadau Pakistan wameanza kutengeneza bia,sasa kwa maadili ya dini yetu inakuwaje kwa TESTER kucheki kama kimea kimeiva?
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kutest kwani ni lazima kunywa? Watatumia njia ya kitaalam zaidi
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  SAAB nao kule mozambique wameanza kutengeneza bia ya mihogo
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kwani huko Pakistan bia/kilevi hakipo? Nchi kuitwa ya kiislam/kikristo haina maana dini nyingine hazipo. Mfano ni Italy yaliko makao ya Papa, ndiko kwenye madanguro, au Uk yaliko makao ya Anglican,si umesikia juzi PM wao anasema inabidi tufanye mchezo mbaya, na makasisi wake hawajamtenga. Siungi mkono ulevi,ila tukubali kutofautiana ki-staraabu ili tuishi pamoja.
   
Loading...