Wale wa UDOM diploma tukutane hapa tupeane info za muhimu

JOYSON

Member
Sep 17, 2017
61
13
Ninawapongeza sana wote waliochaguliwa kujiunga na kozi mbali mbali ngazi ya diploma ktk chuo cha UDOM. Hongereni sana sana.

Katika kufanya maandalizi kuelekea chuoni ni vyema tukapeana taarifa za muhimu ambazo wengine wameshindwa kuzipata kwa sababu mbalimbali ili tusaidiane wote kuripoti chuoni kwa muda bila delay kwa kukosa taarifa fulani ambayo tungeweza kusaidiana.

Karibuni sana wadau, jiskie huru kushea chochote
 
Nina dogo langu kachaguliwa udom certificate in social work lakini Pia aliapply IAA chuo cha uhasibu kozi ya BANKING AND FINANCE aende kipi?
 
Nina dogo langu kachaguliwa udom certificate in social work lakini Pia aliapply IAA chuo cha uhasibu kozi ya BANKING AND FINANCE aende kipi?
Mpe hongera zake sana.. Kwaushaur wangu kama amechaguliwa vyote basi ni vzuri maana kapewa uwanja mpana wa kuangalia kila kozi inafaida gani kwa maana ya soko la ajira na uwezekano wa kujiajiri. Lakin pia aangalie ipi ni kozi yenye ndoto zake za baadae pamoja na hayo nlosema hapo juu.
 
Pamoja mkuu
 
Hivi mtu mwenye CBG Advance na amepata E,E,E, anaweza kufanya Diploma ya Pharmacy hapo UDOM?
O-level dogo ana Chemistry-B
Biology-C
Mathematics-D
Physics HAKUFANYA
Mengine yote ana C na B's!
Kwa mlioomba hapo,naomba kujua,kuna mwenye sifa zinazolongana na hizo na amepata admission ya either Medical Lab au Pharmacy???
 
Oi wakuu nsaidieni mimi nimeshafanya registration TIA na nishapewa ad registration number Lkn ada bado cjalipia sasa nimechaguliwa udom so nauliza t possible kukiacha TIA niende Udom wakat TIA nishajiregister???
 
Mh.. Hapo tuwaombe wenye uzoefu na haya watusaidie.. Japo kwa uelewa wangu mdogo unatambulika chuonibkwa reg no yako na kwasabb haiwezekani ukienda udom wakakupe namba sawa na za tia so sidhan kama kuna shida,.. Japo sina uhakika kwakweli
 
Hivi mtu mwenye CBG Advance na amepata E,E,E, anaweza kufanya Diploma ya Pharmacy hapo UDOM?
O-level dogo ana Chemistry-B
Biology-C
Mathematics-D
Physics HAKUFANYA
Mengine yote ana C na B's!
Kwa mlioomba hapo,naomba kujua,kuna mwenye sifa zinazolongana na hizo na amepata admission ya either Medical Lab au Pharmacy???
Sina uhakika.. Ngoja wenye sifa kama zake na wamechaguliwa waje watusaidie
 
Ambaye amepata admission letter kupitia web ya chuo anipe muongozo namna inavyopatikana
 
khabari za saiz,
naomba kuuliza kuwa ukiwa umechaguliwa diploma ya computer in science/ ICT, unaweza kubadili ukasoma education au Laboratory
 
Back
Top Bottom