wale wa TANGA Kunani

mwambojoke

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
1,060
628
Ni mara yangu ya kwanza Nakuja tanga mchana huu.Naomba mnisaidie maeneo ambayo sipaswi kukosa kutembelea nikiwa Tanga nijienjoy.
 
Ni mara yangu ya kwanza Nakuja tanga mchana huu.Naomba mnisaidie maeneo ambayo sipaswi kukosa kutembelea nikiwa Tanga nijienjoy.


We ni jinsia ME au KE?!! Maana lazima tujue ili tuangalie protocol,na pia una private transport au public? Me ni mwenyeji huku japo makazi Dar na nipo kwa wkend!!
 
inategemwa uwezo wako wa kifedha nisije kukwambia uende beach ya kulipia kumbe uwezo wako ni beach ya bure

#kunjani kuti
 
Mkoa wa Tanga una wilaya zake,kuna wilaya ziko pwani na kuna wilaya ziko bara,Hawa wa maeneo ya bara,ndio wanaoshindwa kutofautisha kati ya L na R,kama vile Wilaya ya Lushoto,Muheza,Korogwe ,Handeni,Kilindi ,lakini wa maeneo ya wilaya za Tanga mjini na Pangani ni tofauti,labda ukutane na mhamiaji kutoka wilaya za bara.
 
Mkoa wa Tanga una wilaya zake,kuna wilaya ziko pwani ma kuna wilaya ziko bara,Hawa wa maeneo ya bara,ndio wanaoshindwa kutofautisha kati ya L name R,kama vile Wilaya ya Lushoto,Muheza,Korogwe ,Handeni,Kilindi ,

asante sheikh Kikwajuni one. nahisi wewe ni mtu wa Mkwajuni Dar. au sio sheikh
 
Back
Top Bottom