Wakuu,
Utaratibu wa kutuma maombi ukoje?
Na kiwango cha pesa kwa ada ya maombi ya nafasi ikoje?
Natanguliza shukrani!
Mimi kwa sasa nipo Zanzibar. Vipi, huku wapo?Ok, OUT kwa sasa wamefuta ada ya maombi! NI BUREE yaani ni miguu yako tu!! Unakwenda na vyeti vyako halisi (original) kwenye kituo karibu na ulipo! OUT wana vituo kwenye kila mkoa Tanzania hii na hapo watakufanyia online application fastaaa....!! Kama dakika thelathini tu ushamaliza kila kitu unasubiri selection.
Mimi kwa sasa nipo Zanzibar. Vipi, huku wapo?
Sifa na vigezo ni zilezile zilizowekwa na NACTE na TCU.
SijuiHivi degree ya OUT inaheshimika kama degree ya udsm, mzumbe, saut, tumaini nk?
Vyema kabisa. Kinachowachanganya wengi ni namna ya utoaji elimu kwa njia ya masafa kwa sababu inaonekana kama ni njia ngeni hapa nchini!!Hivi degree ya OUT inaheshimika kama degree ya udsm, mzumbe, saut, tumaini nk?
Mkuu hiyo barua ya nacte naipata wapi? Au mpaka niende dar tena ndo napata naomba ufafanuzi hapaNimefika Leo open kufanya admission ni bure,ila unatakiwa kwenda na barua ya nacte kuthibitisha vyeti vyako,huko nacte ndio wanachaji elfu kumi ili kuhakiki vyeti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika Leo open kufanya admission ni bure,ila unatakiwa kwenda na barua ya nacte kuthibitisha vyeti vyako,huko nacte ndio wanachaji elfu kumi ili kuhakiki vyeti.
Sent using Jamii Forums mobile app