Download hizo hizo na kuzijaza. Kuna medical form pia zijazwe na daktari wa kueleweka. Lipa ada na malipo mengine kama fee structure inavyoeleza. Leo ni reporting day! Kuna jamaa yangu ameenda hapo pia. Mambo mengine utayajua ukiripoti!nimeona joining instruction.
Unaruhusiwa kulipa kwa awamu 2 kwa upande wa tuition fees tu. Vingine vyote vinalipwa kwa mkupuo mmoja.Wakuu nlikuwa nauliza ada inalipajwe. kwa instalment au yote kwa mkupuo ya mwaka.
kwa chuo kama Mocu!