Wale wa mlimani UDSM

What I remember is he went down shamefully with Revina Mukasa (RIP) her death was not in vain
 
Duh!! Jibaba Bonge mie sikumbuki chochote inaonekana long time sana kwani mie sio wa kizazi cha mbali sana. Unajua UDSM imebeba vizazi na vizazi. Tupo uhondo huo wa akina mzee punch na amri zake please
 
Mnamkumbuka Mzee Punch (Incognito,Omnipresent .....)?
Mnakumbuka amri kumi za Mzee punch?

Alikithiri sana kwenye uovu.
Nakumbuka alivyotoa na kubandika sehemu mbalimbali picha chafu za kupachika kumchafua yule dada aliyejulikana kama "Iron Lady" wakati anagombea u-makamu wa rais miaka ya 90. It was so bad I can say.
 
Last edited:
But I have many fond memories of the "Hill" then, desas za DS circulating from Dept to Dept, freshers na foleni za meal allowance hadi dirisha linavunjika! Silversands Hotel etc
 
But I have many fond memories of the "Hill" then, desas za DS circulating from Dept to Dept, freshers na foleni za meal allowance hadi dirisha linavunjika! Silversands Hotel etc

Mama Joe, umekumbuka Boom na Silversands! nakuaminia. Silversands na Freshers' ball nini!
 
Kiasi fulani mzee aliweka heshima, nakumbuka "don't bring frustrated mothers to the Hill"
 
Mama Joe, umekumbuka Boom na Silversands! nakuaminia. Silversands na Freshers' ball nini!

Yeah kwakweli sijui sasa hivi hizi intake kubwa hivi wanawaentertain na nini, maana kila jumamosi zilikuwepo buses za kwenda Hotel. (At least mwanzoni) sasa hivi Halls zimejaa mno, sijui lecture rooms wameongeza?
 
Kulikuwa kiongozi mmoja akiitwa Ibrahim Kimaro, yupo wapi siku hizi? sijui kama ni member humu.
 
Wengine kipindi hicho cha Mzee Punch tulikuwa bado tuko Secondary. Tueingia UDSM hakuna cha Punch wala nini.
 
udsm jamani kubwa, mbona hapa pako kimya sana inakuaje?
 
Punch wengine wako humuhumu watukumbushe mambo yao. Nadhani mwaka wetu pale chuo ndo ilitoka punch ya mwisho lakini baada ya kugundulika hawakuendelea tena wala kurithisha kizazi kingine.
 
Msinikumbushe Mzee Punch.
He never graduate, he never DISCO, etc
No you are wrong alikuwa sio individual, walikuwa ni wahuni wachache wa engineering nadhani ambao walikuwa wanapass hii tabia intake hadi intake, ikaja kuanguka na student aliejiua miaka ya mwanzoni ya 90, muhusika mkuu alifungwa 2 yrs nadhani wengine wakaacha kabisa, sie tumesoma haikuwepo tena. Ndo maana unaona kuchangia kuhusu huyo punch ni kimya kwani iliishia vibaya.
Wao walikuwa wanasema wanaleta heshima chuoni lakini ilifika kipindi ikawa ni unyanyasaji mfano huyo aliejiua hakuwa na tabia mbaya ila mvulana aliekataliwa naye aliwatumia wao kumnyanyasa, hivyo mie naona sio mjadala mzuri kwa mtu ambaye sasa hivi wewe ni baba au mama hutapenda wanao wafanyiwe hivyo.
 
udsm jamani kubwa, mbona hapa pako kimya sana inakuaje?
Wengine tuli graduate miaka ya 80s. Wakati huo Mzee Punch alikuwa anaregulate tabia za waliokuwa wanazidisha. Kama maisha yako yalikuwa ya kawaida, Mzee Punch hakuwa na shughuli na wewe.
 
hebu mtufafanulie who is the hell mzee punch? ufafanuzi pls
 
hebu mtufafanulie who is the hell mzee punch? ufafanuzi pls

Mzee ilikuwa ni kama post ambayo ilikuwa inabandikwa kwenye kuta za matangazo na kuta za mabweni zikielezea matukio mbali mbali na kuonya juu ya tabia mbovu za wanafunzi in the Hill.
Kila akitoa hizo post alikuwa anaanza na amri 10 za mzee yaani ten commandments of mzee!
Kama utakumbuka alimpunch Rais Mwinyi miaka ya 94 mpaka chuo kufungwa. Post hizo zilikuwa zinaandaliwa kwa pamoja na wanafunzi, lecturers, na baadhi ya wahitimu ambao walikuwa mtaani!
 
Back
Top Bottom