WALE WA MKWAWA UNIVERSITY a.k.a MUCE a.k.a CHUO KIKUU TUSOMANE HAPA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WALE WA MKWAWA UNIVERSITY a.k.a MUCE a.k.a CHUO KIKUU TUSOMANE HAPA.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KAUZUDAGAA, Sep 24, 2012.

 1. K

  KAUZUDAGAA Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wale mlochaguliwa kwenda MUCE hebu coment hapa ili niwaesabu. haya twendee..!
   
 2. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Dogo karibu sana Mkwawa,Ni Camp Ambalo watu wanakata shule,Chakula buku unapata,watoto wakali,walimu wazuri,wellcome to the best zone in Africa
   
 3. K

  KAUZUDAGAA Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  vp mwaangu we mwaka wa ngapi?
   
 4. M

  MLEKIZAYO Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  habari za kitabu nimezifurahia sana kama kiwango cha elimu ya MUCE ni kizuri.mimi mwenyewe nitakuwepo BAED.
   
 5. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Muce kuna babu mmoja anaitwa dr itandala kwa wale wataosoma histor mjianda kukesha mnasoma au mtaondoka na sup za kutosha, ila kwa ujumla chuo kipo poa, ulanzi pia upo wa kutosha ni wewe tu
   
 6. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Aisee wape kweli,kama unasoma History jiandae kukariri,utakutana na Dr Itandala,
   
 7. K

  KAUZUDAGAA Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mbona mnatutisha na uyo DR. Itandala wenu.
   
 8. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Kama tunakutishia nakuombea wakupange history afu utatuma uzi hapa,kupita utapita lakini kwa kukariri,hataki ujibu kinyume na notice na haroi notice na lecture moja zaidi ya watu 250
   
 9. j

  juxtor Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani baridii la ukoo mtaliwezaaa

  Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
   
 10. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Msisahau makoti ya kawaida,iringa ina joto kiasi,imeingiliwa na global warming xco kama zamani,na kuna virus usibp
   
 11. Eriglo

  Eriglo Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hostel inakuwaje huko? Na room za kupangisha zipo?
   
 12. kaka mkweli

  kaka mkweli Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Acha kukatisha tamaa wenzako we umefikaje?
   
 13. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Kutoka unatoka ila waje afu watatuma uzi hapa
   
 14. o

  oil sumu JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2013
  Joined: Jun 26, 2013
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nakuja
   
Loading...