Wale wa miaka ya 90 nani mkali hapa?

Rambo ni kiboko aisee jamaa anajua kuogiza vibaya mno. Kuna siku nipo na sister nachek muvi mara sister anasema "rambo anasauti nzuri" nikaondoka kama narudi vile
Hahaa ..
Sista anamsifia kibesi mwanaume mwenzio!! Hata mimi ningeenda kujisaidia ndio moja kwa moja.
 
Halafu kwa vichwa hivyo MTU anakuforce Eti uangalie bongo movie Jini Anasubiri magari yapite ndo nae avuke anaogopa kugongwa gari shitttt
 
hahahahahahahaaaaa enzi hizo bolo yangu alikua moto ndani ya blood sport ila dolf lundgren huyu alikua anaonekana anauwezo ukiachalia mbali kuekt heshima kwake mzee wa terminator shwasneger first blood sylvestor
it was wonderful moment
 
Back
Top Bottom