Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

Jielimishe rafiki yangu sio kwamba tunaiba channel wanazitoa bure wao wenyewe hizo frequency na wakibadilisha wanatoa taarifa. Nazungumzia Itv Eatv clouds startv tbc1 hata wasafi tv.

Unachotakiwa kanunue dish. Fundi kuseti dish hela ndogo sana kama lilikuwa linafanyakazi.

Ukitaka kujiongeza kama sisi finder kali sana zipo msimbazi hata kama umeme hamna we unaset dish.

Sasa Channel kama HBO yenye movie bandika bandua ndio zinataka reciever makini.Bei ya kawaida.

Mimi sio fundi lakini baada ya kutumia madish mda mrefu sasa nafunga mwenyewe au naomba msaada wa fundi sababu wao frequency ni rahisi kupata wana marifiki wengi na wamaishi wengine kwa kuset madish wanawajibika sana.
Mimi fundi hayo unayoyaongea nayafahamu sana ila huwa tunamshauri mteja kulingana na anavyotoka
 
Hiyo reciever n ilikuwa nayo ina Fungua local zote na CNN BbC alajazeera HBO na NHK
ila sony haifungui APL na Doscovery

Iliharibika baada ya matumizi ya miaka 2 hivi ikaamza kuji restart kila wakati. Haina power on switch unawashia na kuzimia ukutani.
Ww uko wapi hilo tatizo linatatulika
 
Local sizipati kwa sababu dishi nimeelekeza position ya 68.5e ambako kuna zile za Discovery channels na HBO movies na za kihindi kibao!
Kwa hiyo mkuu ukiwa na dish kama la azam na kingamuzi let say chochote ambacho unaweza kukiupgrade by OTA Nawezapata hizo chanel???
 
Kwa hiyo mkuu ukiwa na dish kama la azam na kingamuzi let say chochote ambacho unaweza kukiupgrade by OTA Nawezapata hizo chanel???
Kuzipata hicho channels unatakiwa kuwa na dish kuanzia futi 6 na receiver ya FTA lakini nzuri zaidi ni ile inayo support keys kama biss, powervu na dre
 
Kuzipata hicho channels unatakiwa kuwa na dish kuanzia futi 6 na receiver ya FTA lakini nzuri zaidi ni ile inayo support keys kama biss, powervu na dre
Mkuu naomba frqnce za hii kitu,nina kisimbuzi cha zuku hope itafanya kazi
 
Back
Top Bottom