Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

Ni vitu gani mkuu? Nipe mwanga nipate pamoja kuanzia...
Nunua risiver zenye uwezo wa kufungua key ila sio key zote ni baadhi maana hizo key kama za azam,startime n.k zinabadilika mara kwa mara
 
Haya ndo mambo nayoyataka, Jamaa upo vizuri sana! Mimi bana nipo iringa mjini, kuwapata mafundi dish wazoefu ni shida, Yaani unamwita fundi aje akufungie dishi yeye anakuja kwa kukariri position anayoijua sasa utapomwambia kuna position yako ulioichagua hapo utasikia amesahau spana mara pima maji sijui sasa uko siliaz kweli na kazi yako kama sio ubabaishaji? Sasa naomba nijiridhishe kwenu wenye maarifa zaidi yangu, Nimeichunguza Eutelsat 10e masafa ya C-band nimeona beam coverage yake kubwa kwa ukanda wetu wa Afrika Mashariki, na huko naona list ya channels kadhaa za fta toka Tanzania, Kenya na Uganda. Swali kuna yeyote anaipata satellite hii? Tuambie unaipata kwa dishi la futi ngapi? Unapata Chaneli ngapi? Tuambie pia ubora wa picha na strong frequency za kutumia. Majibu ntayopata hapa yatanisadia kuiwinda satellite hiyo ambayo baadhi ya mafundi wa Iringa wameshindwa kuufurahisha moyo wangu!Asante
 
Njoo Pm nkusaidie hata fundi ntakupa namba ambaye sio wa kubahatisha. Ila ni vizuri dish iwe ft 8 nakuendelea
 
Hamna kulipa piga Dish nunua reciever ya ukweli mtaendelea kulia lia jamaa wa vijijini wana solar madish wamapata Local channel zoooote. Hivi wengine wanadhani haya madish mapambo.
Inategemea Cha bure kina Gharama
 
Inategemea Cha bure kina Gharama
Jielimishe rafiki yangu sio kwamba tunaiba channel wanazitoa bure wao wenyewe hizo frequency na wakibadilisha wanatoa taarifa. Nazungumzia Itv Eatv clouds startv tbc1 hata wasafi tv.

Unachotakiwa kanunue dish. Fundi kuseti dish hela ndogo sana kama lilikuwa linafanyakazi.

Ukitaka kujiongeza kama sisi finder kali sana zipo msimbazi hata kama umeme hamna we unaset dish.

Sasa Channel kama HBO yenye movie bandika bandua ndio zinataka reciever makini.Bei ya kawaida.

Mimi sio fundi lakini baada ya kutumia madish mda mrefu sasa nafunga mwenyewe au naomba msaada wa fundi sababu wao frequency ni rahisi kupata wana marifiki wengi na wamaishi wengine kwa kuset madish wanawajibika sana.
 
Ni Gt media v7 plus nimeipata Iringa kwa 150,000
Hiyo reciever n ilikuwa nayo ina Fungua local zote na CNN BbC alajazeera HBO na NHK
ila sony haifungui APL na Doscovery

Iliharibika baada ya matumizi ya miaka 2 hivi ikaamza kuji restart kila wakati. Haina power on switch unawashia na kuzimia ukutani.
 
Yaa unaweza kuwa sahihi kwa sababu miaka michache nyuma walijiita Freesat na Sasa wamebadili Brand wanajiita Gt Media. Ila nilichonacho mimi kina power ON/OFF
 
Jielimishe rafiki yangu sio kwamba tunaiba channel wanazitoa bure wao wenyewe hizo frequency na wakibadilisha wanatoa taarifa. Nazungumzia Itv Eatv clouds startv tbc1 hata wasafi tv.

Unachotakiwa kanunue dish. Fundi kuseti dish hela ndogo sana kama lilikuwa linafanyakazi.

Ukitaka kujiongeza kama sisi finder kali sana zipo msimbazi hata kama umeme hamna we unaset dish.

Sasa Channel kama HBO yenye movie bandika bandua ndio zinataka reciever makini.Bei ya kawaida.

Mimi sio fundi lakini baada ya kutumia madish mda mrefu sasa nafunga mwenyewe au naomba msaada wa fundi sababu wao frequency ni rahisi kupata wana marifiki wengi na wamaishi wengine kwa kuset madish wanawajibika sana.
Clouds na wasafi ni FTA kweli? Masafa yao yakojee
 
Unaweza kutumia antenna au dish, ni choice yako tu mkuu. Utapata channeli nyingi (karibia zote) za bongo for free. Ukitumia dish unaweza kupata movie channels za kutosha kuanzia za kihindi, HBO, MCB na nyingine nyingi, news channels kama CNN, BBC, Al-Jazeera, CNGT na nyingine nyingi tu.
Ukitumia antenna ya kawaida unapata channels zipi za ndani??
 
Back
Top Bottom