Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

Yap,kwanini usifanye mpango mtu akisema anataka local una save mwenyewe iluli shughuli ya fundi isiwe ngumu wengi sio wataalamu sana,hebu fikili wazo langu iwaje?
Hata sijaelewa swali lako mkuu.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom