Wale wa kwenda JKT 2016 tukutane hapa..

Kaplizer

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
719
582
Mm nilipigia usaili wa awali pale iIlala... jamaa wana masharti sana.. hautakiwi kwenda umevaa ndala au sandals.. pia kwa darasa la 7na form four usizi miaka 23......
Karibuni tujuane na tupeane updates...
 
vp kwa wale wa form six au wanaohold certificate na diploma mkuu
 
Kuna dogo std 7 kafuatilia cheti cha kumaliza shule wanasema bado hakijatoka mwalimu mkuu kamuandika barua ya udhamini kama kweli kamaliza primary shuleni kwake.je io inaweza kua mbadala wa cheti na akiomba jkt wanaweza mkubalia maana chet cha kuzaliwa ancho original!!
 
Nadhani itakubalika Mkuu. Si barua imetoka shuleni?
 
Back
Top Bottom