fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 999
- 668
hii picha inatafasiri nini nyuma yake?
Au inamaanisha nini?
Hiyo ni farasi aliye mbeba mtume Muhammad (SAW) kwenda peponi kupokea kuraan tukufu. Farasi hivyo anaitwa BRACO.
Huyo ni Krishna mungu wa kihindi
Ni farasi wa mtume (S.A.W) kutoka peponi anaitwa al -buraq (lightening)....alimbeba mtume katika safar zake za isra na miraj....
Ushahidi katika Qur-an surat al isra..
Ndo alikuwa na kichwa cha mwanamke wa kihindi????!!??