Wale wa pombe kali (Spirits), tuambiane aina nzuri za pombe

Lusekelo (mzee wa upako) huwa nalipiga kama nina mechi ya nje huwa linanisaidia nikishapanda juu nasugua sana Simalizi yani hata nikimpa hera yangu inaenda kiharali Lusekero huwa linanisitiri na aibu ya mechi za nje
 
Mie napata sweet spirit taratiibu.
4808e837c740e9f00d1c9b158c8ae7e4.jpg

Spirits+red bull= bomu
 
Namuogopa Mungu maswala ya kutaste ladha tofauti cwez
Usimuoga utaungama kjn...
Kama una imani na mungu kweli basi ukaa kanisan na kusali akupe huyo mke na sio kutafuta mitandaoni au kakutuma huku??


Mbona mnaficha maovu yenu kwa jina la huyo MUNGU

Dogo acha ufala bado mtoto wewe kula ujana
Mi kinywaji changu ni maji na juice tena natural sio za azam!! Hayo makonyagi yenu bakini nayo!! Yani mtu anameza kinywaji mpaka anakunja uso what the hell!!
Unatafuta nn humu sasa usije kuleqa harufu
 
Boss, win, Masters, double punch, konyagi, Don nyati, value izo zote ni tamuu balaa
 
Hebu kwa dhati ya mioyo yetu tukiweka unafiki kando! Ni sahihi kweli kusifia vya wenzetu huku gongo yetu tukiipotezea? Kwakuwa najua kwa hakika ladha yetu ya kwanza kabisa ilikuwa machozi ya simba kabla hatujakuwa na uwezo wa kununua hizi zilizopanda ndege
Gongo konyagi na konyagi ni za bongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom