Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,545
- 63,023
One love!!Bb nxt w'end tuombe uzima...
One love!!Bb nxt w'end tuombe uzima...
My weekend seems to be short! Hii kitu murua kabisaHiyo kitu hatari VSOP shikamoo bb
One love!!
Hiyo kitu ni nzuri sana.My weekend seems to be short! Hii kitu murua kabisa
Kilichokuleta kwenye huu uzi ni nini..?Mi kinywaji changu ni maji na juice tena natural sio za azam!! Hayo makonyagi yenu bakini nayo!! Yani mtu anameza kinywaji mpaka anakunja uso what the hell!!
Miss mbege upoo!Gongo
Kwan ya Marijuana inashida gani,vinywaji vitamu kila mtu anavijua na aina zake.Anzisha ya vinywaji vitamu..
Fursana unaijua ww?
Nipo aiseee nawahi kwenda kulalaMiss mbege upoo!
Zimewekwa ili zivunjwe we niite tuvunje woteNkipandisha uzi wadizaini hii lakini unaohusu ganja hivi nitakuwa nimevunja sheria za jf?
Haina shida bibie,ntakuita tu,kumbe nawewe ni herbalist?.Zimewekwa ili zivunjwe we niite tuvunje wote
Haya nasubiria witoHaina shida bibie,ntakuita tu,kumbe nawewe ni herbalist?.
Daah Hizi naweza kunywa 20,sisikii kitu kabisaa aiseeMie napata sweet spirit taratiibu.
Hahahaaa ..umenikumbusha jamaa yangu mmoja alikunywaga savanna 24 kwenye harusi aisee!!Daah Hizi naweza kunywa 20,sisikii kitu kabisaa aisee