Wale wa enzi zetu...misemo hii mwaikumbuka?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Miaka ya sabini hivi tulikuwa na misemo ya.............................Ndege imetua au bado ......kiwanja ni safi au la hasha..........................kiwanja kina majani au la.................n.k

Wanaokumbuka vizuri misemo hiyo watutonye....................na siku hizi sijui vijana wana misemo ipi................................wanayoifahamu nao watuume sikio....................
 
Ha haaa siku hizi vijana wana sema, ninaham na kapilau, au leo ntakula kapilau, ngoja tukacheze mahewa mahewa. Au ubungo posta, ubungo posta daladala ikichanganya, imba mwenyewe haraka haraka ubungo posta then upunguze haraka utapata jibu.
 
Dah kweli wenzetu wameendelea nasi bado tulikuwa nyuma sana kwani sisi tulijikita sana juu ya usafi wa kiwanja badala ya mechi yenyewe.................
 
Huku hakukufai basi .............. wahi kwa wenzio kule ................... ndege imetua ndio ina
maanisha nini? :thinking:
 
...Salama au macho yangu?
...Tutakula ama fitna?
...Ndege itatua ama kiwanja kina matope?
 
Mkuu Rutashubanyuma,nashauri ukiweka msemo fulan uweke na tafsiri yake chini yake, maana hiyo misemo ilikuwa baaab kubwa,na hawa dot com(akina JS et al) hawatakaa waelewe kitu.
 
Kishtobe...ilikuwa ni meli kubwa sana ya kijapan iliyotia nanga bandarini DSM miaka ya 1975, matokeo yake neno KISHTOBE likachakachuliwa na kumaanisha MPENZI/DEMU/MSHIKAJI.
 
Dah kweli wenzetu wameendelea nasi bado tulikuwa nyuma sana kwani sisi tulijikita sana juu ya usafi wa kiwanja badala ya mechi yenyewe.................

.............Hahaha umenichekesha ndugu yangu.......wa siku hizi ni kama bahati nasibu, ukiipata ipe jibu .....so hata mawazo ya hali ya uwanja hayazingatiwi kabisa. Tofauti na enzi zetu yaani unakaa mwezi mzima unajiandaa maana ushajua siku flani mechi inachezwa....... hata kifuniko unanunua kipyaaaa, uwanja unafyeka, na kwa wale ambao walishawahi kuonja.na mazoezi wanaanza kabisa kujinoa kwa mechi. Asa siku hizi ah ni kama bahati nasibu akialikwa kwenye mechi ni siku hiyo hizyo popote atakapokuwa mechi inachezwa so shauri yako ukute majani hayajafyakwa shauri yako hiyo itakuwa aftermath tena.

:rip::rip::rip:
 
Kishtobe...ilikuwa ni meli kubwa sana ya kijapan iliyotia nanga bandarini DSM miaka ya 1975, matokeo yake neno KISHTOBE likachakachuliwa na kumaanisha MPENZI/DEMU/MSHIKAJI.

Kishtobe, walikuwa wana maanisha Makalio ya mwanamke.Nadhani baadae ndio wakawa wanamaanisha mtu mke.

Ile meli ya Kijapani ilikuwa inafunguka na kupakuwa mizigo kwa nyuma.
 
dah wanikumbusha mawenzi klabu nje nimepaki guruwe( peageot 405) langu.....dah
 
.............Hahaha umenichekesha ndugu yangu.......wa siku hizi ni kama bahati nasibu, ukiipata ipe jibu .....so hata mawazo ya hali ya uwanja hayazingatiwi kabisa. Tofauti na enzi zetu yaani unakaa mwezi mzima unajiandaa maana ushajua siku flani mechi inachezwa....... hata kifuniko unanunua kipyaaaa, uwanja unafyeka, na kwa wale ambao walishawahi kuonja.na mazoezi wanaanza kabisa kujinoa kwa mechi. Asa siku hizi ah ni kama bahati nasibu akialikwa kwenye mechi ni siku hiyo hizyo popote atakapokuwa mechi inachezwa so shauri yako ukute majani hayajafyakwa shauri yako hiyo itakuwa aftermath tena.

:rip::rip::rip:

Hapo kwenye pink hapo MJ1 enlighten me plse ........... haya mazoenzi yanafanyika wapi na nani mchezaji wa pili .......... kumbe hii kitu ilianza zamani ee :smile-big::wink2:
 
.com mkikutana tu ni, oya! ngozi inagongeka leo?
:smile-big::smile-big::smile-big: umenimaliza ............................... nilidahani msemo wa sasa ni mbunye inalika ................ mshariba unaosheka, kuvutwa maji, osha rungu, ........... tupa ngwese .......... lakini hii ya kugonga ngozi imenimaliza ....... :laugh:
 
hahahah tuliosoma shule za kufugwa kama mbuzi mnatuacha njia panda wajameni na hii misemo
 
...Salama au macho yangu?
...Tutakula ama fitna?
...Ndege itatua ama kiwanja kina matope?

Yaani weeeeeeeee wacha tu........umenikumbusha mbali sana nilipokuwa shule ya Tosamaganga mwaka 1969............Haya ndiyo misamiati yetu niliyokuwa ninaitafuta.......................
 
hahahah tuliosoma shule za kufugwa kama mbuzi mnatuacha njia panda wajameni na hii misemo

Hata sisi tulikuwa bweni lakini yalitufikia........................
 
.............Hahaha umenichekesha ndugu yangu.......wa siku hizi ni kama bahati nasibu, ukiipata ipe jibu .....so hata mawazo ya hali ya uwanja hayazingatiwi kabisa. Tofauti na enzi zetu yaani unakaa mwezi mzima unajiandaa maana ushajua siku flani mechi inachezwa....... hata kifuniko unanunua kipyaaaa, uwanja unafyeka, na kwa wale ambao walishawahi kuonja.na mazoezi wanaanza kabisa kujinoa kwa mechi. Asa siku hizi ah ni kama bahati nasibu akialikwa kwenye mechi ni siku hiyo hizyo popote atakapokuwa mechi inachezwa so shauri yako ukute majani hayajafyakwa shauri yako hiyo itakuwa aftermath tena.

Itabidi tuwakande na kuwafunda hiki kizazi kipya.........................
 
Back
Top Bottom