wale wa dodoso fupi jamani hebu tujazane maana nimekosa imani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wale wa dodoso fupi jamani hebu tujazane maana nimekosa imani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bulah, Aug 14, 2012.

 1. B

  Bulah JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jamani huku kwetu mwongozo unasema siku nane ila tumeambiwa tunalipwa hela ya semina ya siku nne tu... tueleweshane jamani...
   
 2. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 951
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Siku ni saba za Semina,sasa kama mnalipwa siku NNE hizo nyingine mtakuwa manaenda KUJItolea au ?Wizi Mtupu,dhulumati ?,Kumbe WIZI huo upo kila sehemu,Mitaa ya TABATA wale wa DODOSO fupi wameanza Semina Jana na walipohoji watalipwa Tsh ngapi wakaambiwa hawapaswi kujua watapewa tu na kama wanaona hawawezi KAZI waondoke zao,makuuubwaaaaaa,that show hawa jamaa wanadharau na wafanyakazi wao na hawana shida na wafanyakazi,badala ya kuwanyenyekea wanakuwa na lugha ya dharau....kwakuwa wengi wameengia kwa magumashi na dhiki ya ajira wanakuwa wapole ,kuwa na moyo mgumu komaa pokea mshahara wa siku nne na nyingine jitoleee,Polee weeee:A S cry:
   
Loading...