View attachment 129717
View attachment 129718
Tujitahidi kuitumia Fursa hii watanzania wenzangu na wale wenye mapenzi mema na Guru
AMEN!!
Happy New Year Wataalamu
samahani mkuu,huwa sielewi kuhusu hii kitu taneli guru,huwa nadhani ni yale makavati wanayokaa omba omba wa kihindi ndiyo yanaitwa taneli guru.naomba ufafanuzi tafadhali