wale wa bure bure internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wale wa bure bure internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sop sop, May 21, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  jamani naombeni msaada wa kutumia internet bure........ ... ...!!!!
  mungu awatie nguvu ili mnijibu wapendwa......!!!!amennn
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,243
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  siku hizi hamnamo utamu...
   
 3. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,216
  Likes Received: 8,290
  Trophy Points: 280
  tuombe kwanza:eyebrows:
   
 4. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mbona naskia,kuna wataalam wa hizi mambo humu....
  kwa anayejua naomba anisaidie maana bando inanifilisi mno....
  jamani hata kwa PM tu ,nioneeni huruma mtoto wa mkulima mie....!!
  chief upoooo,nifanyie maujanja naskia ww ni mtaalam aisee.!!
   
 5. w

  wasasa Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  tukupe uzifunge.?
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  KAWAOMBE VODACOM, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, SASATEL au TTCL NDO WAKUJIBU KAMA WANATOA INTERNET BURE,
   
 7. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  hampati kitu humu tunakula bureeee:bange: na sa hivi sumbueni vichwa vyenu kutafuta uzembe wenu msitegemee watu wahangaike then nyie ndo muende mukafunge sa hivi hayo mabasi yenu yamevuja kichiiizi speed za ukweliii:lol::lol: ila hampati kitu tumewash2kia na ma ID yenu:eyebrows::eyebrows::eyebrows::hurt::hurt:
   
 8. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
 9. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  huyu jamaa hafai kusaidiwa, ni nyoka. msithubu la sivyo utamu utakatika mda huo huo. siyo mwema.
  Wewe chief umemjulia wapi?
  Tuache kidogo bana. kamuombe david camerun.
   
 10. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimetupenda hutu tumaongezi
   
 11. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,366
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Mungu akutie nguvu uweze kufanya kazi na kupata kipato cha kugharamia kila kinachostahili,hakuna mungu anayewatia nguvu wavivu na wezi hiki unachotaka kifanyike ni wizi na ubatili taslimu,ilaaniwe mikono ya wavivu.Aaaaameeeen
   
 12. N

  Nyasiro Verified User

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
 13. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  msifanye hivo nyie mnafikiri kwa mwendo huu tutafika wakuu,mnawaza mambo ambayo hayapo..
  ..huwezi jua haya maisha wakuu....!!!
  ngoja niendelee na bando bwana ila nashukuru kwa majibu yenu....!!!!!
   
 14. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mwanzo nilikuwa na acc but nikasahau password,na ndio maana nikafungua acc mpya na mm sio mgeni kihivo.....kingine siwezi lipiza baya...!!!
  kwa suala la mautundu kwangu yapo mengi tu na nitawamwagia bure...!!!
   
 15. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  umejianda.andaaje kijana,kama unahisi umejipanga vizuri twende PM,maana hapana kitu cha bure hapa,"wazungu wanasema toa kitu upate kitu".....kwa suala la chief,sisi sote machief ila tumetofautiana mautundu....!!!!
   
 16. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Watu wamekushtukia, humpati mtu. Ahaaa haa haaa.
   
 17. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dubu Kitufe cha LIKE naona kinanichelewesha............ ngoja nikugongee ya live hapa "LAIKI""
   
 18. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Internet ya bure???
   
 19. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35


  kaka huyo aliyekushauri uje huku kakupiga changa la macho maana hakuna internet ya bure humu.
  Ila usikonde kijana mzuri njia rahisi kukwepa bundle ni hii:-

  nenda kasajili line za Airtel nyingi uwezavyo na uhakikishe zote zinakuwa na salio la tsh 4 then hakikisha unakuwa macho hadi saa 6 usiku ndo uanze kutumia hiyo net ya bure.

  kila line unakamua 200MB zikiisha unabandika line nyingine, mchezo unakuwa ndio huo mpaka kokorikooooh.
  Nadhani hii itakusaidia sana mkuu maana ukiwa nazo line 10 unakamua 2GB bila jasho
   
 20. m

  msamwelmollel Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ok nimeipenda kwani huyu jamaa ni mfanyakazi wa tigo au zantel au ni nini kwanini anataka bure wakati ukiwa mpendwa hutataka wizi?
   
Loading...