Wale wa ARU (Ardhi University)

barach pwm

Member
Sep 2, 2012
43
5
,.Naomba mnijuze kama inawezekana kwa aliyesoma HGE kupata nafasi na kumudu kozi y Architecture,Building Economics,BAF hapo chuoni
 
,.Naomba mnijuze kama inawezekana kwa aliyesoma HGE kupata nafasi na kumudu kozi ya Architecture,Building Economics,BAF hapo chuoni
HGE huwezi soma architecture,
ila hayo ya red nafikiri unaweza ila lazima uwe umefaulu hesabu
 
HGE huwezi soma architecture,
ila hayo ya red nafikiri unaweza ila lazima uwe umefaulu hesabu
hata hapo kwenye building economics itakua ngumu...nlikua nacheki prospectus yao kuna mpaka kozi za mechanics na hesabu(sio BAM naongelea pure au engineering maths)...hapo vipi HGE atatoboa? labda kama anajiamini,kwa BAF haina tabu!
 
je niliehitimu kidato cha nne naweza jiunga katika chuo cha aridhi kwa koz ya land menejiment kweeeeeel? naombeni msaaada wenu wandugu zangu
 
acha kudharau vyuo vya wenzio mkuu.
Mi nadhan hajadharau ila walijidharau wenyew mwanzo kwa kuchukua takataka ndo mana mpaka leo watu wanajua chuo cha kubeba takataka
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom