Wale wa ardhi ambao majina yao hayakutokea kwenye list ya mwanzo

JOAQUEM

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
2,019
1,665
Mimi ni mmoja wa wale ambao walichaguliwa pale ardhi university lakini jina langu halikuonekana kwenye list ya mwanzo basi mimi leo nilienda pale chuoni na kukuta majina mengine yameshafika pale chuo ila wamesema wanayafanyia kazi na kesho au kesho kutwa watayaweka kwenye mtandao
NOTE: JINA LAKO USIPOLIONA UJUE WAMEKUTEMA KWANI WANAYACHUJA MAJINA HAYO
 
Back
Top Bottom