Thefreedom
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 319
- 313
Aliyekuambia nani iphone tuko offline.
Safi mzeiya model ipiIfike hatua simu za mchina ziheshimiwe mi natumia Xiaomi wao Wana Android na MIVi Yao kwahiyo mi kwangu sina shida ya mtandao
nilikuwa natumia Xiaomi 6A Ila saiv nimepata nyingine kubwa zaidi Xiaomi PoccoSafi mzeiya model ipi
Huyo mleta hoja mpuuze tu sikutegemea kama ni mshamba kiasi hicho mbaya zaidi umeambatanisha vielelezo bado haamini anauliza za YouTube na anaona hiyo list ilivyo.Hizo zilizojipanga hapo hujagundua ni za youtube kiongozi??
Sijaongelea hilo mimi.......ishu nasemea option za kuinstall apps kwenye iphone nje ya appstore maana wengi hawakua na access ya appstore sasa wangedownload wapi hio vpn..............sijasema kwamba iphone haiwezi kuinstall VPN mimi nilikazia pale kwenye kuinstall apps bila kua na access ya appstoreMkuu kuweka VPN kwenye iphone ni sawa na kuweka app yoyote tu, zipo kibao VPN tena za bure kwenye AppStore unless hajui kuhusu VPN ikiwa na maana hata angekuwa na android bado angelala tu maana hajui kuhusu VPN
Mleta mada nimemdharau sana hana hata uthibitisho wa hoja yake, nilichoona anacho ni ushabiki tu na ulimbukeni tena anacheka utadhani apple users wamekosea kuzimiliki.Si kweli mkuu natumia iphone na niko online fresh tu tangia jana usipende kuropoka pasipo kuwa na uhakika wa jambo husika
Wengi wapo offline sio woteAliyekuambia nani iphone tuko offline
Ku sideload apps watumiaji wangapi wa ios wanajua? Hasa wa hapa bongo ambao wengi wanabebaga ma iphone kwa ajili ya fashion tu ila ukiwatikisa kidogo hawajui lolote
Mimi nimeidownload kwa kutumia wireless internet ya hotspot ya windows 10 ambayo nayo inafanya kazi via vpn, Appstore ilikubaliSijaongelea hilo mimi.......ishu nasemea option za kuinstall apps kwenye iphone nje ya appstore maana wengi hawakua na access ya appstore sasa wangedownload wapi hio vpn..............sijasema kwamba iphone haiwezi kuinstall VPN mimi nilikazia pale kwenye kuinstall apps bila kua na access ya appstore
Android uside load apps unatafuta nn? App unaidownload tu hata na browser ya kwenye simu na una install....... kitu pekee tu itakachokuuliza ni kwamba tu kama unakubali kuinstall app kutoka unkown source basi ukikubali unaendelea zako simple sana........ios sidhani unaweza okota app tu kwny browser ukainstallss ata hao android users kuna ambao hawajuii piaa
i know sideloads ya ios na android pia
but sion kama ina umuhimu sana kwa mtu asiye na mambo mengi
#utajuahujui
Sasa kwa mtu asie na acces kama yako na hakua na vpn kwenye simu hata appstore hawezi kuingia so hata hio vpn hawezi kuipataMimi nimeidownload kwa kutumia wireless internet ya hotspot ya windows 10 ambayo nayo inafanya kazi via vpn, Appstore ilikubali
Shauri yao kwa kutojiongezaSasa kwa mtu asie na acces kama yako na hakua na vpn kwenye simu hata appstore hawezi kuingia so hata hio vpn hawezi kuipata
Sijaongelea hilo mimi.......ishu nasemea option za kuinstall apps kwenye iphone nje ya appstore maana wengi hawakua na access ya appstore sasa wangedownload wapi hio vpn..............sijasema kwamba iphone haiwezi kuinstall VPN mimi nilikazia pale kwenye kuinstall apps bila kua na access ya appstore
Huyo mleta hoja mpuuze tu sikutegemea kama ni mshamba kiasi hicho mbaya zaidi umeambatanisha vielelezo bado haamini anauliza za YouTube na anaona hiyo list ilivyo.
Nimemsikitikia kwa ulimbukeni alonao!
Hata kama kuimiliki huwezi au hutaki omba aliye nayo aitafute hiyo VPN appstore then ujaribu kui-install uone kama ni kweli inauzwa kuliko ulivyokaririshwa ujingaLakini ndugu hata android ni hivo hivo mpaka uwe na VPN au si kweli? Sema tu kwenye iphone unanunua app.