Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

IMG_1337.jpg

Tupo pamoja, huyo anaedai tuko offline namwangalia kwa jicho la husda
 
Mkuu samahani kwa kuingilia,
Ila mimi binafsi iOS sijawahi kuipenda, ila simu zao nazipenda sana tu kiasi kwamba natamani watoe iPhone zinazotumia Android,
Na niwe mkweli kama Apple wakitoa device zinarun android mi nitanunua,
Juzi nilitaka kununua Macbook (All in One Desktop) nikamuuliza jamaa kama inaweza kutumia Windows Os aliponijibu tu nikaamua kuachana nayo,
Hivyo tatizo sio Device zao, tatizo ni Os wanayotumia,
Kifupi inabidi ukubaliane na interest za mtu binafsi,
Maana binafsi hata hizi samsung zenye edge display sijawahi kuzipenda ila jamaa ndo kaniambia nitumie kisha nione
personal preferance, I agree

binafsi nimetumia zote iphone na android phones muda mrefu sana

kila aina nadhani ina pros and cons

android ni user friendly, haipasui kichwa kwenye kuhamisha data, miziki, ku instal apk mbali mbali, ku root, nk...

lakini iphone iko stable zaidi, ngumu zaidi, maintance yake cheaper zaidi na inahifadhi thamani mmrefu zaidi na inauzika kirahisi zaidi ukiishiwa chakula nyumbani.

how so?

Samsung zangu unaamka asubuhi unakuta vi icon vimepotea au vimejipanga upya vyenyewe....never on earth with iphone

samsung zinapata pata moto zaidi ya iphone kwa experience yangu mimi...

samsung iki crack kioo kidogo tu kwishney, iphone utadunda nalo mpaka mwenyewe uone sasa itanikata sikio, ngoja nibadili kioo

kioo cha iphone kubadilisha sio pasua kichwa, kioo cha samsung bei karibu na simu

na simu la iphone mtoto akilidondosha au akilirusha ukutani linawezakubaki salama kuliko samsung

...,,lakini in the final analysis matumizi yangu ya simu mara nyingi ni yale yale tu, internet, kuongea na simu, whatsapp, na kusikiliza miziki. Ma software ya kuchakata matokeo ya form four na kuchanganua vikokotoo vya pensheni na kuaanda ma pro foma invoice ya Quickbook hayo nayafanya kwenye computer ku save macho yangu! Kwa hiyo ninapokuwa na iphone si miss saaaana huo u user friendly wa android

Sijui wewe unatumia android kwa kipi cha mno ?????
 
samsung iki crack kioo kidogo tu kwishney, iphone utadunda nalo mpaka mwenyewe uone sasa itanikata sikio, ngoja ni

kioo cha iphone kubadilisha sio pasua kichwa, kioo cha samsung bei karibu na simu

na simu la iphone mtoto akilidondosha au akilirusha ukutani linaweka kubaki salama kuliko samaung

...,,lakini in the final analysis matumizi yangu ya simu mara nyingi ni yale yale tu, internet, kuongea na simu, whatsapp, na kusikiliza miziki. Ma software ya kuchakata matokeo ya form four na kuchanganua vikokotoo vya pensheni na kuaanda ma pro foma invoice ya Quickbook hayo nayafanya kwenye computer ku save macho yangu! Kwa hiyo ninapokuwa na iphone si miss saaaana huo u user friendly wa android

Sijui wewe unatumia android kwa kipi cha mno ?????

Ulichoongea nadhan umeni copy natumia iPhone since iPhone 2007 na kwa sasa niko na tunda jipya matumizi kama hayo uliosema ndio niko nayo sasa hawa team android ukiongelea iphone kwa namna tunavotumia wanaona kama twajikweza au kujiskia kumbe ni rahisi kama kula wali maharage
 
Wasalaam,

Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!

Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii toka jana hama insta, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!

Android OS is the best ever OS to be invented!

Aaaahaa haaaa
giphy.gif
 
mtuambie na wengine mnawashaje maana wengine hata appstore hakuingiliki tena.

Wale wa iPhone
1.nenda setting
2.then general
3.then vpn
4.then click add vpn configuration
5.then after kwenye type unachagua ya mwisho L2TP
5.then kwenye description andika vpngates
6.then kwenye server write this code 219.100.37.180
7.kwenye account write vpn
8.password again andika vpn
9.kwenye secret again andika vpn
10.after filling all this unabonyeza done kwajuu
11.itakuja status unabonyeza on
Note:Make sure your mobile data is on
 
Woyooooo imekubal.....
 
personal preferance, I agree

binafsi nimetumia zote iphone na android phones muda mrefu sana

kila aina nadhani ina pros and cons

android ni user friendly, haipasui kichwa kwenye kuhamisha data, miziki, ku instal apk mbali mbali, ku root, nk...

lakini iphone iko stable zaidi, ngumu zaidi, maintance yake cheaper zaidi na inahifadhi thamani mmrefu zaidi na inauzika kirahisi zaidi ukiishiwa chakula nyumbani.

how so?

Samsung zangu unaamka asubuhi unakuta vi icon vimepotea au vimejipanga upya vyenyewe....never on earth with iphone

samsung zinapata pata moto zaidi ya iphone kwa experience yangu mimi...

samsung iki crack kioo kidogo tu kwishney, iphone utadunda nalo mpaka mwenyewe uone sasa itanikata sikio, ngoja nibadili kioo

kioo cha iphone kubadilisha sio pasua kichwa, kioo cha samsung bei karibu na simu

na simu la iphone mtoto akilidondosha au akilirusha ukutani linawezakubaki salama kuliko samsung

...,,lakini in the final analysis matumizi yangu ya simu mara nyingi ni yale yale tu, internet, kuongea na simu, whatsapp, na kusikiliza miziki. Ma software ya kuchakata matokeo ya form four na kuchanganua vikokotoo vya pensheni na kuaanda ma pro foma invoice ya Quickbook hayo nayafanya kwenye computer ku save macho yangu! Kwa hiyo ninapokuwa na iphone si miss saaaana huo u user friendly wa android

Sijui wewe unatumia android kwa kipi cha mno ?????
Natumia android sababu user friendly na data sharing options ziko rahisi! Pia nafanya kazi zangu kama graphics editing kwa urahisi maana app zipo kibao nzuri tu as well as document processing.
 
Jomba mshamba sana huyu,
Hivi una taarifa kwamba sahivi mnaenda kufanywa vibaya katika soko lenu la iPhone chakavu za makumbusho. The phones coming out from iPhone 12 will be irrepearable. Ikifa unatupa maana hardware tofauti na za kutoka na simu hazifanyi kazi😂😂😂
 
Back
Top Bottom