"Wale vijana" wote wa intership WCF wamefaulu written interview

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,527
3,810
Wakuu,

Nyepesi nyepesi kutoka ndani kabisa ni kwamba wale vijana waliokuwa wanafanya internship pale Workers Compensation Fund (WCF) wamefaulu interview. Tunapenda kuwapongeza hao interns

Kwenu WCF, kwanini mnaficha matokeo na majina ya watu wote waliopata oral interview? Kwanini msiweke wazi?

"Wale vijana" tunaamini watafanya vizuri kwenye oral interview pia.
 
Mimi naona hayo majina ya watu waliofaulu wanaotakiwa kwenda oral wangeyaweka Kama walivyo yaweka Yale ya awamu ya kwanza kwenye web yao kuliko kusema wanapiga cm... nawapongeza Sana takukuru kwani wao huwa wanaweka na marks ulizopata hata ukizungusha wanaweka hivyohvyo hili ukikosa unajua nimekosa kwa uzembe wangu... WCF TUNAOMBA MUONGOZO
 
Wakuu,

Nyepesi nyepesi kutoka ndani kabisa ni kwamba wale vijana waliokuwa wanafanya internship pale Workers Compensation Fund (WCF) wamefaulu interview. Tunapenda kuwapongeza hao interns

Kwenu WCF, kwanini mnaficha matokeo na majina ya watu wote waliopata oral interview? Kwanini msiweke wazi?

"Wale vijana" tunaamini watafanya vizuri kwenye oral interview pia.

Na mara nyingi interns ni ndugu wa wafanyakazi wa taasisi husika..undugu kwenye kupeana ajira hauwezi kuisha..poleni vijana
 
Hivi unawezaje kuwaacha watu wanaikufanyia Intern, tena wengine hawalipwi hata shilingin lakini unaona juhudi yao, tuwe na moyo wa ubinadamu

Kuna watu hata intern hawataki eti hawawezi kufanya kazi bure...

Naunga mkono WCF, huwezi kufika 3 kabla ya 1 na 2, tukubali shuruba
 
Ila walichokifanya WCF mungu anawaona, wameita watu weeengi ila matokeo yametolewa kimya kimya, sjui umafia gani huu wanaleta
 
Back
Top Bottom