Wale vijana wa Sinza Kijiweni...............wanawap a watu presha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale vijana wa Sinza Kijiweni...............wanawap a watu presha

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by platozoom, Jun 7, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Ni pembeni mwa barabara ya Shekilango Sinza Kijiweni jioni moja hivi nipo na rafiki yangu............wapo vijana (wa kiume) maeneo hayo wanafanya kazi ya kusafisha na kupaka rangi kucha za kinadada na kinamama taratiiibu huku wakipiga story.

  Wateja wenyewe wanavuta gauni au sketi kwa juu kidogo ili msafisha kucha afanye kazi yake kwa uhuru.....

  Rafiki yangu ambaye tumekaa naye Bar ya jirani kwa nje....kasononeka sana akaniambia (ana lafudhi ya kichaga)
  "Aisee rafiki yangu mimi siwezi kumruhusu mke wangu aje hapa.............yaani hawa jamaa wanavyoshikashika miguu ya hao kinadada siwesi kufumilia".

  Nikabaki kucheka tu...............nikamwambia mimi bachela sina hofu sana.Namshangaa Nyetk anafurahia kushikwa na kinadada saloon...kuna upande wa pili................Akina charminglady, Kipipi, Mwali, Mamdenyi na akina sweetlady wanaoshwa kucha taratiiiibu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  mwambue aache wivu....

  Halafu wanaume wanajua kushika vizuri miguu wale.....

  Wakianza kuikanda kanda sasa walaaaahiiiiii........

  Wakiisugua tobaaaaaa......

  Muende na wake zenu hapo jamani...ohooooooooooo
   
 3. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Umenionea.
   
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Nyetk Sijakuonea, umefurahia sana kushikwa sharubu na kinadada saluni..........ukitoka shemeji nae anapita kwa hiyo minjemba anapata scrubing ya miguu taratiibu...........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Alaah na wewe unasapoti haya mambo? Badilitabia utamuua kwa presha shemeji
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Kwenye thread "Jana nilienda salon kunyoa.........!" nilipost hi:

  To be honest mimi sijawahi kufanyiwa hizo huduma zaidi ya kuoshwa kichwa na maji baada ya kunyoa kwa sababu mbili:

  1. Huwa najisikia kinyaa fulani hivyi
  2. Siiamini hata chembe moja hiyo mi-chemical wanayotumia.*

  ..................................................
   
 7. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Wacha wajiachie, maisha burudani.
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Una moyo wewe?
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  haya sasa.....
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  mie nimeongelea kukandwa kandqa miguu jamani..... Kusafishwa kucha, kusuguliwa suguliwa unyayoni......kama hamuwafanyii hayo wake zenu then.......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ngoma droo
   
 12. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Preta huwa unapita hapo..? au unafurahia huzuni zetu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hii inaitwa.....kula uliwe.....
   
 14. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hapo sasaa......kama sijaoa lakini nina mupenzi tunaonana mara 1 kwa mwezi itakuwaje ?(mfano tu)
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  sipiti ndugu yangu....mpenzi wangu yu anifanyia kila kitu....mpaka masaji ya mwili napewa mie....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Preta koma.Ishia hapohapo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  hiyo mara moja unapaswa uitumie vilivyo...
   
 18. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Unaona raaaaaha
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ndo maana yake.....
  Hahahahah ama kweli muosha huoshwa loh....
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  hihihihihiiiii roho inawauma eeeh....
  Halafu warembaji hawz wanafaudu.....
  Imagine anapokamata guu la bia la mdada .....
  Taratiiiiiiiibu analipapasa ....analimassage..............
  Weraaaaaaaaaaaza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...