Wale twiga na wanyama wengine waliopanda ndege kuelekea Qatar sio hawa kweli?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,912
Doha%20zoo%2002.JPG

Hapa ni Qatari
4354zoo1.jpg

Huyu Simba ni kama wale wa Serengeti
Doha-Zoo-Qatar-3.jpg

qatar-1.1169908860.zoo_020.jpg

Hawa Ndege wako kwenye zoo huko Qatari na wanafanana na wanao Patikana Lake Manyara
 
Kwa kweli Hao Ndege ni full kufanana na wano Patikana Lake Manyara na Lake Natron
 
Fikira finyu hizi haziafanya tusonge mbele. Kuna cha ajabu gani kama kuna wanyama kutoka Tanzania wako katika zoo za nchi za nje , mbona hiki ni kitu cha kawaida na kiko tangu zamani. Hao wanyama wamelipiwa pesa , na Tanzania tunao wengi si kwamba ni wanyama adimu. Haya ni mawazo yaliopitwa , ya wivu na husuda.
 
Kweli ni mawazo ya wivu na husuda, mwenzenu keshajiuzia wanyama kakunja pesa mfukozi nyie kelele za wivu!
 
Mpango wa kusafirisha hawa wanyama,ilikuwa DEAL ya wakubwa,na ilijulikana.Kwani mpaka ndege inatua TZ bila kizuizi chochote na kuondoka na wanyama.!!

Kiongozi wa nchi naye alitembelea hii nchi,sijasikia AKILALAMIKIA utoroshwaji huu kama chenji ya RADARba .!!

KIBAKI,ana mkataba wa kuuza wanyama hai nchi moja ya FAR EAST,hawa viongozi huwa wana tabia ya kuigana michongo na namna ya kuendesha mambo yenye kuwanufaishi wawapo madarakani.
 
Tushukuru hawa wanyama wamefikishwa wakiwa hai huenda tukidhibitisha tunaweza kuwarudisha,
Wanyama wengine ilibidi wauliwe ili kuwachomoa pembe na kuzijaza kwenye kontena na kuziuza.
Chama Cha Majangili kitamaliza mpaka sisimizi wetu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hao simba wanapatikana manyara pekeee duniani wenye manyoa meusi..daaaah hii serikali inakasirisha,....
 
Back
Top Bottom