CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Hapa ni Qatari
Huyu Simba ni kama wale wa Serengeti
Hawa Ndege wako kwenye zoo huko Qatari na wanafanana na wanao Patikana Lake Manyara
kwani tulitoka?Tutafika kweli?
Fikira finyu hizi haziafanya tusonge mbele. Kuna cha ajabu gani kama kuna wanyama kutoka Tanzania wako katika zoo za nchi za nje , mbona hiki ni kitu cha kawaida na kiko tangu zamani. Hao wanyama wamelipiwa pesa , na Tanzania tunao wengi si kwamba ni wanyama adimu. Haya ni mawazo yaliopitwa , ya wivu na husuda.
Kazi ya baba ake miraji