Wale twiga na wanyama wengine waliopanda ndege kuelekea Qatar sio hawa kweli?

wanyama wamenjimwa uhuru wao wa kutembea kwenye mbuga zao za asili sasa wako kwenye mauzio.
 
Doha%20zoo%2002.JPG

Hapa ni Qatari
4354zoo1.jpg

Huyu Simba ni kama wale wa Serengeti
Doha-Zoo-Qatar-3.jpg

qatar-1.1169908860.zoo_020.jpg

Hawa Ndege wako kwenye zoo huko Qatari na wanafanana na wanao Patikana Lake Manyara

Kwanini usiwaulize wamewatoa wapi ili tupate uhakika??
Tena kwakua ni wa wizi unaweza kushangaa ile kuwauliza tu wakakupoza na $ kadhaa uuchune!!
 
Fikira finyu hizi haziafanya tusonge mbele. Kuna cha ajabu gani kama kuna wanyama kutoka Tanzania wako katika zoo za nchi za nje , mbona hiki ni kitu cha kawaida na kiko tangu zamani. Hao wanyama wamelipiwa pesa , na Tanzania tunao wengi si kwamba ni wanyama adimu. Haya ni mawazo yaliopitwa , ya wivu na husuda.

msomi huyo nyuma ya keyboard...naona hujasikia kuwa kuna kesi ya waliopitisha wanyama pale KIA,hivi kwanini watu kama ninyi hamchukui hata some minutes kufikiri then kupost,au unataka uwe wa kwanza kuchangia thread??
 
Kila kitu JK? Tatizo ni Mfumo ambao umesomesha kwa upendeleo
watu ambao si waadilifu, yeyote aliyesomeshwa na MFUMO "K"
hawezi kuwa muadilifu ndio maana rushwa imekithiri kwa sababu
wengi walioko kwenye nafasi mbalimbali serikalini wametokana na
Mfumo "K" Hivyo si waadilifu.
Kwa hiyo unataka kwenda kuchoma kanisa???
 
Fikira finyu hizi haziafanya tusonge mbele. Kuna cha ajabu gani kama kuna wanyama kutoka Tanzania wako katika zoo za nchi za nje , mbona hiki ni kitu cha kawaida na kiko tangu zamani. Hao wanyama wamelipiwa pesa , na Tanzania tunao wengi si kwamba ni wanyama adimu. Haya ni mawazo yaliopitwa , ya wivu na husuda.

Ukisikia mbwa anabweka bweeeeeh!ujue jiwe limempata.
 
Back
Top Bottom