Wale Tusiopitwa na nyimbo za Chris Brown tukutane hapa

Ckumbuk kwa mara ya mwisho mwaka gn kuskiliza ngoma za kitoto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nitasikiliza nyimbo zoote za chris ila Treading Water itabaki kama ngoma kali sana kwangu kutoka kwake. Dogo yuko poa napenda anavyobadilika
 
Back
Top Bottom