Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,599
- 112,655
Nimekuja kumuwakilisha mwanaume wangu..... enhee leta habari!!!
Mkeo naye vipi anatuangusha sana, mie nikiambiwa mbona nitachangamka sana, bila hata kwenda kuangalia duu! Lakini Atakuwa kajifunza, hongera zako.Nilimshirikisha kua nimenunua kiwanja kukiona hataki tujenge hapo so nikaamua kujenga baada ya kujenga nikampeleka akashangaa pamechangamka na kuna kila huduma akanipongeza je ningekubali tusijenge hapo familia imeongezeka ingekua je?
Ongezea na msemo wa tuishi nao kwa akili.Hapo ulimshirikisha ila ulitumia busara kama msemo usemao akili za kuambiwa changanya na za kwako!
Projects za millions 50 ndo mnajigamba men hawanusi?Kuna projects wanawake wanafanya wewe men hunusi
Kwahyo miradi mikubwa yote ni yenu?shame on uProjects za millions 50 ndo mnajigamba men hawanusi?
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hujui h weweOngera