Wale tunaopenda wanawake weusi tukutane hapa tuwape sifa zao

We ndiyo unajifariji baada ya kuoa mke wa baridi kama panga lililo lala nje
Pambana na hali yako
Makasiriko ya nini kwa kufail kwako kwa cheusi mangara broo.. pambana na hali yako wala usione noma.. value ya rangi ya mtume ipo juu zaidi 🤣🤣🤣 usiumie sana unaweza muacha huyo cheusi wako ukachukua rangi ya mtume
 
Popote ulipo chukua savanna, bili juu yangu.
 

Attachments

  • Duo_Molten_Huggies_Gold_1.jpg
    Duo_Molten_Huggies_Gold_1.jpg
    49.8 KB · Views: 14
Habari za jukwaani wana MMU,

Leo napenda ku declare interest kwamba kiukweli huwa napenda sana wanawake weusi iwe ni maji ya kunde au weusi kabisa real black beauty A.K.A mama Afrika.

Wanawake weusi wana sifa za kipekee kushinda weupe kama ifuatavyo;

1. Akiwa mzuri anakuwa mzuri na mrembo kweli siyo kama wale wengine wanaosaidiwa na rangi ya kitimoto.

2. Huwa wana ngozi laini na wanakuwa na rangi ya kamg'ao fulani kama dhahabu sijui ndio mnaita chiculate kwa mbali tofauti na weupe.

3. Wakinenepa na zikatoka zile mistari fulani wanaita mangurunyii huko Arusha haziwaharibu ngozi kama inavyokuwa kwa weupe.

4. Wanawake weusi huwa hawana mabaka baka kama weupe na kama yapo yanaonekana Zaidi kwa weupe kuliko weusi, rangi inawastahi.

5. Wanawake weusi huwa wana joto sana tofauti na weupe kwahiyo wanakuwa watamu.

Hizo ni baadhi tuu ya sifa za Mama Afrika, real black beauty girls dhidi ya weupe.

Picha zinaongea
View attachment 2395374View attachment 2395375
Mamanzi weusi na ngozi zao za kuteleza kama kambare, akijipiga mafuta Vizuri unaona reflection ya mwanga kwenye komwe pale
Kwakweli wako vzr ukifananisha na weupe

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom