UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Wadau, nataka dogo aache kunyonya mara moja, mbinu gani itumike?
ha ha ha ,, mku umetisha aisee dah..!!Kwa watoto wengine ile ni starehe kama kugegedana kuacha ni mbinde
Kwa watoto wengine ile ni starehe kama kugegedana kuacha ni mbinde
Tena huwa wananyonya huku wanarusha rusha tu miguu huku na huko kuashiria mzuka wanaopataga sio wa dunia hii na ndo ujue mungu sio wa mchezo mchezo....Kwa watoto wengine ile ni starehe kama kugegedana kuacha ni mbinde
Ahaàaaa nouma sana mkuuha ha ha ,, mku umetisha aisee dah..!!
Hio njia nilitumia kumwachisha MDOGO wanguPaka pilipili ziwa
Tena huwa wananyonya huku wanarusha rusha tu miguu huku na huko kuashiria mzuka wanaopataga sio wa dunia hii na ndo ujue mungu sio wa mchezo mchezo....
Tena huwa wananyonya huku wanarusha rusha tu miguu huku na huko kuashiria mzuka wanaopataga sio wa dunia hii na ndo ujue mungu sio wa mchezo mchezo....
Sio sumu bana
Mi ntamlambisha tu kama ni msumbufu kuacha
Sio lazima umkwaze. Cha kwanza muamishe usiwe unalala nae Kama upo Karibu Na bibi YAKE unamuacha uko wiki moja tu au mbili , au ataria watambeleza ataamka atasikia njaa atakula Na Kama kuna watoto wenzie anacheza nao pamoja baada ya wiki au mbili unaenda kumchukua huku nyonyo umeifunika Na bandegi akiona anaogopa unamwambia dudu hii ah basi mmeachana kwa AMANI. Naushari mnyonyeshe hadi miaka miwili sio vizuri kumuachisha mapema.Nilisoma sehemu wamama wengi wanapaka Alovera...
Yaani siku mbili nyingi...
Sasa mateso yote hayo ya nini? Si bora tu umkwaze siku mbili yaisheSio lazima umkwaze. Cha kwanza muamishe usiwe unalala nae Kama upo Karibu Na bibi YAKE unamuacha uko wiki moja tu au mbili , au ataria watambeleza ataamka atasikia njaa atakula Na Kama kuna watoto wenzie anacheza nao pamoja baada ya wiki au mbili unaenda kumchukua huku nyonyo umeifunika Na bandegi akiona anaogopa unamwambia dudu hii ah basi mmeachana kwa AMANI. Naushari mnyonyeshe hadi miaka miwili sio vizuri kumuachisha mapema.