Wale Tunafanya Blogging, Tuje apa tushare kidogo jinsi ya kuongeza CPC

BLOGER10

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
268
169
Wadau naomba kuuliza ni jinsi gan naeza faya ili CPC iwe kubwa wala ata ifike moja tu
Screenshot_20190731-074819.jpeg
 
badilisha niche, kama unapost kuhusu habari za wasanii basi sahau neema za adsense kabisaaaaa na kama target ya posts zako ni kwa waafrica wakiwemo watanzania basi funga hiyo adsense account maana itakupa stress.
 
Mimi Naomba mdau mmoja mwenye experience na blogging anisaidie ujuzi fulani hiv nataka nianze kublog ,niko serious nataka nijiajiri nijiongezee kipato , msaada please .....u can text me 0738680384
 
Mimi Naomba mdau mmoja mwenye experience na blogging anisaidie ujuzi fulani hiv nataka nianze kublog ,niko serious nataka nijiajiri nijiongezee kipato , msaada please .....u can text me 0738680384
Unashida alafu unataka utafutwe haupo serious wewe
 
Nimeasoma cimnents zenu wadau nyingine zinakatisha tamaa, nyingine zimenisaidia nashukuru ngoja tupambane
 
Natengeneza 500usd per day kwa adsense ,kama una adense ya zamani imetoa 5+ na site yake nichek chap tubadilishane ntakupa full tricks za kupiga hzo dola na ww utanipa accnt...nipo mbeya kama utahitaji tuonane phycally its okey karibu
 
Aiseeeee

Back
Top Bottom